CCM dodoma na mikakati mipya ya kuvamia kwenye harusi


D

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
1,205
Points
1,195
D

Dik

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
1,205 1,195
Nianze kwa masikitiko makubwa kutoa taarifa juu ya kile kilichojiri kwenye harusi ya ndugu yangu Victor iliyofanyika katika ukumbi wa police jamii hapa dodoma usiku wa kuamkia tarehe 17/11/2012.nilishangazwa sana na tabia iliyofanywa na CCM wanawake+vijana wanaosadikiwa kutoka ngazi ya mkoa kuingia ukumbini kutoa zawadi Kwa bwana na bibi harusi huku zikipigwa nyimbo za Ccm!niwajuavyo hawa ndugu zangu hakuna anayefanya kazi ktk ofisi ya ccm wala kuishabikia ccm!nilijiuliza kulikoni ndipo nikaamua kumsogelea na kumhoji kijana mmoja aliyejitambulisha kama Maltin Nderiwa na kunidokeza kuwa huo ni mojawapo ya mikakati iliyoazimiwa na chama kuwa wajitahidi kujitokeza kwenye HARUSI NA MISIBA na kutoa zawadi na pole mtawalia ambazo wanaamini kuwa lazima zitapokelewa!kwa kufanya hvyo watakuwa wanawateka wengi!ckuwa na uhakika kama watajwa walikuwepo ukumbini muda wote kwani baada ya kukabidh zawadi tu waliondoka!ni wazi kuwa hizi ni dalili za kufilisika hakika na kwa mbinu hz HAMTAFANIKIWA KABISA!Kufanya hvy ni kukaribisha shari na kuharibu sherehe za watu.KWELI HALI YENU NI MBAYA.cuf,chadema nk wakifanya hvyo itakuwaje.KAZI MNAYO!
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,488
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,488 2,000
Kwenye misiba watakuwa wanalia!!!! Hizi ndio mbinu za kinana kweli hawa jamaa bado Wana zile mbinu za mwaka 1812
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,223
Points
1,500
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,223 1,500
Nimecheka sn baada ya kusoma habari hii ya ajabu sana.
Mkakati huu hauna uhusiano wowote na KUIPA KURA CCM.
Ni ujanja endelevu wa watu wachache kujipatia senti kidogo, maana naamini mweka hazina mkuu wa ccm hana jinsi ya ya kuhakiki misiba na Harusi zote zilizotokea nchini.

Wamejitengenezea kituko ambacho kitawaongezea watanzania siku za kuishi duniani kutokanana jinsi watakavyokuwa WAKICHEKA.
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Points
1,195
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 1,195
laana ya udini na kubaka haki za watanzania ndio kunawafikisha hapo na bado watavua hata nguo ili kuomba kura
 
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
1,415
Points
1,225
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2011
1,415 1,225
Ccm wanakazi kwelikweli mwakahuu
 

Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,404
Posts 31,224,572
Top