Amani Mrimbo
Member
- Nov 23, 2010
- 64
- 9
Hivi mwanamke akiwa Rais , na akajifungua , Siku kuu inakuwa siku ngapi? Au marais wanawake waanze kazi hiyo baada ya umri wa miaka 60?
Tukiangalia upande mwingine wa USA wana rais wa 44 sasa na hawajawahi kuwa na mwanamke. Hio ndiyo Democratization? Wadau mnalichukuliaje swala la kuwa na rais mwanamke?