Siasa ni Mchezo mchafu sana, unahitaji maarifa na akili zaidi na ukijitumbukiza kwenye siasa umejitumbukiza katika mapigano makali sana zaidi ya Libya au ya Vetnam........Lakini viongozi wangu na...
Hivi sasa kuna biashara nyingi sana za michezo ya kubahatisha zimefunguliwa karibu kila sehemu hapa jijini Dar,Je hii inaashiria watu kukata tamaa ya maisha na kuelemea kucheza kamali mda wote...
ni Estomi Malla, John Bayo, charles Mpanda, rouben Ngowi na Rehema leo watapanda kizimbani kusikiliza hukumu ya kesi yakudaiwa kulipagharama za mahakama baada ya kesi walio kuwa wamefungua awali...
Kwa mtindo ambao unaendelea ktk nchi yetu kwa sasa,ukiwa unatoa ishara ya TANZANIA ijayo,je ni kweli TANZANIA bado itaendelea kupata AMANI au na sisi tunaelekea kuwa SOMALIA mpya ?.
MUNGU...
Katika hali isiyo ya kawaida, Askari wa Polisi wa Doria wa Wilaya ya Kibaha walivamia, kukamata, kupiga na kupora watu pesa zao.Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Visiga-Madafu Kibaha, Pwani...
Yesterday we published a lead story about the $1.4 million (Sh2.24 billion) ivory tusks confiscated by the Hong Kong Customs and Excise department.
The confiscated container, which had 500 pieces...
Tanzania inaongoza barani Afrika kwa kupokea misaada ikiwamo mikopo mingi kutoka kwa wafadhili wa nje na taasisi za fedha za kimataifa kwa lengo la kuleta maendeleo bila kusahau kuwakwamua...
Jamani nani yuko Kibondo wanaJF? kama upo Kibondo niPM. Mimi niko huku tunasubiri Mh Idrisa Ibrahim Lipumba afanye mkutano wa Hadhara hapa katika Jengo la Kilimo Jumatano hii ya tarehe 21...
Kesi ya maandamano ya January 5,inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA, Mh Mweyekiti Taifa, Mh Katibu mkuu na wenzanke itaendelea kesho mahakama kuu Arusha, tujitokeze kwa wingi
Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuhusishwa kwa rco Kilimanjaro na biashara haramu ya sukari, ingawa siamini kama sukari ni ya shida tena maana imejaa kwenye maghala huko tpc mpaka...
Nilikuwa nategemea Star TV ndio chombo consistent katika vipindi vyake.
Nashangaa haya mabadiliko ya mara kwa mara yanatokana na nini, vipindi vimekuwa havieleweki.
Tulizoea Jumapili tuongee...
Fred alianza kazi ya utangazaji katika Radio Tanzania kabla ya kuja Ulaya kwa mafunzo.
Amekuwa akifanya kazi huku akiendelea na masomo ya shahada ya pili ya masters kwenye digital media katika...
Planes used by the low-cost African airline Fastjet will be branded with the head of an African grey parrot
November 18, 2012
London
Fastjet takes EasyJet low-cost model into African airspace...
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limepinga kitendo cha askari polisi wa kike kumpekua wanaume ambaye ni muumini wa Dini ya Kiislam katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es...
By SHARIFA KALOKOLA in Dar es Salaam | Thursday, November 15 2012 at 09:00
Birds of a feather: May Munuo and Serah George say networking was their pathway to financial freedom. | ZACHARIA...
Wandugu naomba msome hii taarifa ndio mjue nchi yetu imeoza
KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa...
Wapendwa wanagreatthinker,,,ninamiaka 40 sasa,nilikuwa na dill na mambo ya hotel,(barman) ..nataka kufanya kz ingine ambayo nitafanya kama ten years or 15 year kama mungu akipenda.. Nataka...