Utitiri wa biashara za kamali.

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
324
250
Hivi sasa kuna biashara nyingi sana za michezo ya kubahatisha zimefunguliwa karibu kila sehemu hapa jijini Dar,Je hii inaashiria watu kukata tamaa ya maisha na kuelemea kucheza kamali mda wote? Kamali ni addictive kama madawa ya kulevya je serikali hailioni hilo. Je nani wa kudhibiti biashara hizo ambazo zinaendeshwa hata wakati wa masaa ya kazi.
 
ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,177
1,225
huku kwetu wapo lakini ni utapeli tuu watu wanaibiwa ile mbaya lakini hawa jamaa hawashikwi na wana vibari lukuki vingine vinatoka wizarani yaani ni wizi mtupu. kama serikari inatoa vibari watu wake waibiwe hadharani hata kama ni rottary lakini si iwe ya haki. kila mtu analiwa hakuna anarpata akipata ujue huyu anahusika na wenye bahati nasibu hiyo. serikari iliangalie hili
 
Askari wa miguu

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
333
0
Hivi sasa kuna biashara nyingi sana za michezo ya kubahatisha zimefunguliwa karibu kila sehemu hapa jijini Dar,Je hii inaashiria watu kukata tamaa ya maisha na kuelemea kucheza kamali mda wote? Kamali ni addictive kama madawa ya kulevya je serikali hailioni hilo. Je nani wa kudhibiti biashara hizo ambazo zinaendeshwa hata wakati wa masaa ya kazi.
Mkuu ni kweli biashara hiyo imeenea sana jijini sasa hv, kuna hawa jamaa wa Premier betting na Meridian betting wana vituo karibia kona zote za Jiji lakini wana vibali na wanalipa kodi pia hii michezo ni ya kubashiri matokeo ya Mechi za mpira wa miguu na michezo mingine, kiukweli watu wengi wanaliwa lakini wengi pia hula vilevile na unaweza kula hata laki 4 au 5 kwa ticket ya 500 tu kama una uelewa mzuri wa mpira, hatuwez kuzuia hii biashara coz itz legal na itz 4 ppo over 18yrz sasa cjui niseme ni part ya ongezeko la influence ya kimagharibi huku kwetu au cjui ni vipi maana hii michezo huko ulaya na Marekani imekuwepo kwa zaidi ya Miaka 70 na huko kuna watu wanaishi kwa kutegemea michezo hii hii ya Ku-bet!
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
5,899
2,000
Tume fundishwa kua kamari ni mchezo wa ibilisi niibilisitu ndue hucheza kamari mtu alie kwenye imani hauta mkuta kwenye kamari.
 
Top Bottom