Je tutafika

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298
Kwa mtindo ambao unaendelea ktk nchi yetu kwa sasa,ukiwa unatoa ishara ya TANZANIA ijayo,je ni kweli TANZANIA bado itaendelea kupata AMANI au na sisi tunaelekea kuwa SOMALIA mpya ?.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Tatizo ni CCM. Tuondokane na CCM Inchi itakuwa sawa. Hata somalia matatizo yake yametokana na uongonzi mbovu.
 
Tukibadili mfumo tutafika lasivyo miaka5 mingi tutagawana fito, tofali na mchanga kila mtu akajenge anapo pajua
 
Back
Top Bottom