Jana jioni,nilimtembelea Jaji Gabriel Rwakibalira,aliyemvua ubunge Godbless Lema, nyumbani kwake Kimara.Ni kweli amepooza kwa kiasi fulani.Si yule. Kwa ufupi mazungumzo yetu yalikuwa hivi...
Watanzania tumekuwa waathirika wakubwa wa mifumo mbali mbali inayojiri ndani ya nchi yetu kiasi kila linapokuja suala jipya tunaamini kamati ya deal za wakubwa imekaa kuangalia maslahi...
Wadau nimeisikia taarifa hii kupitia taaifa ya habari ya saa nne asubuhi, Radio Ulanga FM, kuwa tarehe 15/12/2012 yatafanyika maadhimisho ya bodaboda nchini, kitaifa yatafanyika mkoani Tanga na...
Pamoja na kutajwa kuwa bilionea, RA hajapeleka makato ya michango ya ppf kwa wafanyakazi wa New habari kwa takribani miaka sita sasa. Zipo hisia kwamba wakaguzi wa PPF wanapewa rushwa. DG Erio upo?
Wana JF,
Katika siku za hivi karibuni kampuni ya Vodacom imekuwa na SUPA CHEKA, kwa wateja wake wa Vodacom jambo ambalo limeleta hamasa kwa watumiaji wa mtandao huo.
Mfano Tshs100 -...
Nilianza kusikia muda mrefu kuhusu kuingia kwenye huu mfumo wa digitally.ninachoomba nieleweshwe ni kwamba,hivi sasa ninatumia dish ambalo linaniwezesha kuona local chanels na baadhi ya chanels za...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa...
Hali ya taharuki yatanda Misri
Jeshi limeshika doria kila pemba na kuzuia watu kuingia ikulu ya rais. Hali ya usalama iimeimarishwa kote nchini Misri huku Cairo ikijiandaa kwa maandamano mengine...
Monday, 10 December 2012 23:53
By Louis Kolumbia, The citizen correspondent
Dar es Salaam.
A request by Tanesco to increase electricity tariffs by 155 per cent as of next month have been...
Raia mmoja anaehisiwa kutoka Angola amedondoka kutoka angani
wakati ndege iliyotoka Angola ikijiandaa kutua Heathrow Airport huko Uingereza.
Inasemekana raia huyo alidandia ndege hiyo na...
Mjadala huu umeishiaje ndugu watanzania wenzangu? Nani aliibuka mshindi kati ya timu ya PM Mizengo P. Pinda na ile ya Ali Juma Shamhuna? Mjadala mtamu sana huu. Maalim Seif anzia hapa nasi tuipate...
Hapa JF kulikuwa na malumbano makali kati ya Le Mutuz na Wasira. Naomba leo tuwashindanishe na base iwe ni mambo wanayojadili kwenye FB zao. Nimechukua post za mwisho tu kwenye FB zao.
Post ya...
Wana JF Kumetokea ajari ya kusikitisha na kufadhaisha maeneo ya Wami Dakawa mnadani njia panda ya kwenda Turiani kumetokea ajali, Bus ya Najimunsa ya Mwanza - Dar limegonga gari (lorry) kwa nyuma...
Polisi mkoani Singida. limefanikiwa kuwakamata watu 25 wanatuhumiwa kuteka gari la Chuo Kikuu cha Sokoine, na kisha kuwapora fedha watu waliokuwa wanasindikiza maiti iliyokuwa inapelekwa Mkoani...
WANNE WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUFANYA VURUGU MSIKITINI YA KUTWANGANA MAKONDE WAKIGOMBEA KUONGOZA IBADA
Na Walter Mguluchuma | Mpanda
Watu wanne wanashikiliwa na jeshi la polisi wilayani...
Wadau nimeanza rasimi sunami ya ki- CHADEMA kungoa fikra na tawala za kifalme katika jimbo la Korogwe Mjini na wakati huo huo kusupport Kamanda atakaye peperusha jimbo jirani la huyu mganga wa...