Wana JF Kumetokea ajari ya kusikitisha na kufadhaisha maeneo ya Wami Dakawa mnadani njia panda ya kwenda Turiani kumetokea ajali, Bus ya Najimunsa ya Mwanza - Dar limegonga gari (lorry) kwa nyuma na ndg zetu wengi wamepoteza maisha
Wana JF Kumetokea ajari ya kusikitisha na kufadhaisha maeneo ya Wami Dakawa mnadani njia panda yakwenda Turiani kumetokea ajari,Bus ya Majnimusa ya Mwanza Dar imegonga gari (lorry) kwa nyuma na ndg zetu wengi wamepoteza maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.