Nissan sunny

Nissan sunny

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
586
Habari zenu wakuu!!

Naomba kuuliza uimara,upatikanaji wa spea na utumiaji wa mafuta wa gari tajwa hapo juu.
 
Inategemea unataka Nissan Sunny ipi. Pick up au saloon? Pick ups ni imara sana zina sifa zote ila bei yake imechangamka kidogo. Upande wa saloon ni kwa ni gari imara, fuel consumption ni bomba ila spares zake nyingi zinapatikana Nairobi.
 
Nataka saloon,ila suala la Nairobi linaleta usumbufu.....poa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom