Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na...
10 Reactions
17 Replies
620 Views
Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta... Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe...
9 Reactions
16 Replies
836 Views
CNN waachia ripoti ya uchunguzi wa mauaji wakati wa uchaguzi, wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar Kituo cha Habari cha Kimataifa cha Cable News Network (CNN)...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Mvua itanyesha kubwa kwenye baadhi ya maeneo na kuleta maafa ,pengine uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Kama una kufahamu Anza kutunza chakula...
2 Reactions
5 Replies
547 Views
Katika siku hizi za mwisho, wapinga Kristo wameanza kutumia njia mbalimbali kuwapotosha waumini wa kweli. Mojawapo ya njia hizo ni kuzalisha Biblia potofu au tafsiri potofu za Biblia. Kama huna...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna mwana ni Askari constable ila ni Kidato cha 6 ila ananiambia huko kunalipa sana kwa sababu yeye yupo kwenye Malindo ya bank kila siku na anaingiza chochote kuliko hata uhamiaiji. Anasem...
18 Reactions
216 Replies
25K Views
Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa...
4 Reactions
20 Replies
799 Views
1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
GT Hope ujumbe umefika
3 Reactions
10 Replies
330 Views
Shalom shalom Salam alaikum Tusikubali udini ukatutafuna. Padri akibaka tusiseme ukirsto haufai Sheik akila akiua tusiseme uislam tuukatae Dini zote ni za Mungu wanaoziharibu ni binadam
5 Reactions
6 Replies
261 Views
Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar...
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Balozi wa kujitolea Muingereza Mtanzania Bongo zozo anatakiwa kuturudishia hela zetu alizoturubuni kuwekeza kwenye Crypto na Bitcoin. Soko la Crypto na Bitcoin sasa hivi limeshuka na linaendelea...
2 Reactions
26 Replies
683 Views
Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima. "Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya...
3 Reactions
10 Replies
420 Views
Omb 4:13 SUV [13] Ni kwa sababu ya dhambi za manabii wake Na maovu ya makuhani wake, Walioimwaga damu ya wenye haki Katikati yake. Viongozi wa kiroho wa Israel, yaani manabii na makuhani...
2 Reactions
0 Replies
177 Views
Katika jitihada za kulinda thamani ya Shilingi na gharama ambazo Serikali hutumia katika kuchapisha fedha mpya, Wananchi wameshauriwa kuwa na uelewa mpana juu ya alama za usalama zinazopatikana...
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni...
3 Reactions
13 Replies
816 Views
Jamani ee tutafunguliwa lini??
1 Reactions
11 Replies
433 Views
Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Mzuqa! Mmatumbi bana akivumbua kitu yani ni full maringo.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…