Naelekea Manyara (Babati) kesho, naomba uelekeo

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,132
Reaction score
1,668
Habari za nyie kwa pamojaaaaaaa!!
Mapumziko ya mwisho wa mwaka ndo haya, and dys are numbered towards xmass, so kesho wadau ninajimuvuzisha kule kwa mutoto ya kiiraq, sasa kwa wanaofahamu pande za babati vizuri please naomba uelekeo wa wapi nianzie na wapi niishie,
Napenda sana kuzurula/ kutembea so kama kuna sehemu special zenye vivution ni muhimu sana, wapi nilale ambapo ni salama na wale wa opposite sex hawasumbui wageni kwa kugonga milango, wapi yale mambo yetu ya chupa na mbuzi choma (akipatikana kitimoto ni kheri zaidi). Ki ujumla maeneo ya kujiachia, ntakuwa huko kwa 10 dys
Nawasilisha
 
Ango kwa mama!
 
Kwa sasa upo wapi maana hujasema unatokea wapi
 
Nummy kwa sasa naelekea dodoma, ntalala hapo, kesho asubuhi safari itaendelea lakini kwa kupitia singida
 
Preta mgeni huyo, mpokee ingawa mimi ulinikimbia. lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom