Tetesi: UE kwa UDSM, 28/6/2011

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
 
Wewe ni mgeni chuoni.
Soma acha kufuta ratiba. Hujapelekwa shule kupata ratiba za mitihani.
Muda ukifika utaipata. Huwezi kuhesabu siku ulizokaa chuoni ujue zinaishia tarehe ngapi!!
 
We inaonekana ata Chuoni unaenda kwa ku-beep; hiyo tabia ya kuishi kwa tetesi inaonekana unasoma kwa kubahaatisha, Chuo kina almanac yake inayoonyesha ni lini UE inaanza kwanini usiifatilie???? au una uliza ili upate muda wa kujipanga kuaandaa madesa, soma kwa kufuata Course outline yako utajikuta UE unaimaliza vizuri.
 
Hapa hamjaombwa kutoa ushauri! Nimewauliza kwamba, mwenye taharifa na averify. Kama huna taharifa, kaa kimya. As a manager, i have to consider any grapvine, bcoz it is agreed by managers that most of grapvines become true!
 
Wewe ni mgeni chuoni.
Soma acha kufuta ratiba. Hujapelekwa shule kupata ratiba za mitihani.
Muda ukifika utaipata. Huwezi kuhesabu siku ulizokaa chuoni ujue zinaishia tarehe ngapi!!

Jitahd kuwa makini na kila litokalo kichwan mwako! Unaweza kuwa na mambo mengi kichwan lakin yote yakawa pumba. Kujua siku ya kuanza mtihan ndo kuwa mgeni wa chuo? Je nn maana ya tetesi? Jiangalie ww, kama huna jibu, kaa kimya!
 
kuulizia UE huku jamii forum ni uvivu wa kufikiri, chuo kina prospectus, kina website, una classmates wote hao huwezi kuwauliza? enzi zetu tukiwa chuo lazima utajua kila kitu kwani wanabandika kwenye bao za matangazo pale DARUSO,UTAWALA,FOE-COET,nk kote huko hujaona?? unahuduhuria masomo kweli ww? au ndio mtaalamu wa kudesa? Humu Jf ujue kuna watu wazima wameshamaliza masomo miaka mingi wanahitaji kujua mambo ya maana na sii mambo ya kusadikika.
 
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.

Yaani unataka kusema leo hii tarehe 9/06/2011 wanafunzi hawajui kama wataanza mitahani tarehe 28/06/2011 au la?
Mkandara ametoa wapi tabia ya kuongoza chuo kwa zima moto?
 
Hey, ni kwel, UE ni 28/06/11. Wamesogeza kwa lengo la kufanya maandalizi ya miaka 50 chuo.
 
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.

the romours has it!
Hizi ni tetesi zilianzia tbs,zikashuka msapuni,zikarudi mdegree,zikaaenea mabibo,kampas na sasa zimetia miguu jamii forum. .ukweli ni huu,CASS time table cordinator Dr.Lymo juzi kasema hizi ni bigtym crap,so UE ni kwanzia tarehe 11 july.2011. .guys kueni na behaviour to take a glance on the noticeboard!,au ulize the respective area,huku JF ndo ofisi za udsm zilpo au kutafuta sifa.
 
Kabla ya kuandika hayo yote ungemuuliza jitihada kapata habari wapi?
 
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.

kiukwel we ni mwehu sasa hapo udsm hamna ofc? Umeambiwa jf 2nadeal na ratiba za vyuo? Knachowezekana kufanyka kwa uhakika co hadi ukilete humu.... Shame on u.
 
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
 
Nasikia eti kuna mdada alifungiwa library siku ya jumapili, ilipofika saa 7 usiku, alimuona mwl nyerere anasoma magazeti ya mle library... Yule mdada akazimia hadi asubuhi. Akapelekwa hospital.mmezinyaka hizi info wana-UDSM?
 
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
Meneja gani anayeshangaa hivyo!! We bado ni mwanafunzi tu, ebu fatilia ratiba ya UE unapoelekezwa hacha kiburi vinginevyo wata ku-disco kabla ujaingia ata kwenye chumba cha mtihani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom