Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,453
- 8,439
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnakumbuka jinsi watu wa Kipawa walivyohamishwa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwal Nyerere (Terminal III building). Nakumbuka hadi kibao chenye mchoro jinsi jengo litakavyokuwa kiliwekwa . Lakini sasa hivi sikioni tena. Eneo limegeuka kuwa pori na hakuna ujenzi wowote unaoendelea kwa sasa. Je, kuna kitu gani kilitokea kinachokwamisha huo ujenzi? Kwa wanaofahamu tafadhali naomba tufahamishane.