kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,882

vodacom Tanzania kwa nini mnadanganya wateja..toeni hilo tangazo la ofa ya modem yenye ofa ya 5gd kwa mwezi sababu sio kweli,mimi nimenunua hiyo modem yenu juzi pale mlimani city na nikisajili na wakaweka na hiyo"5gb" ila ndani ya saa 12 toka nianze kutumia nikapokea msg ya kuwa hiyo 5 gb imeisha...kitu ambacho ni uongo kwa sababu sikufanya download yoyote kwa hiyo nisingeweza kumaliza 5gb ndani ya saa 12..acheni wizi vodacom..
mnajishushia hadhi ya kampuni yenu ,hamhitaji kudanganya ili watu wanunue hizo modem.