Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Hili jengo lina hali mbaya sana. Haya majamaa yanajua kuiba pesa na kununua ma vx tu basi. Pesa si mnazo maruzuku manini. Mnazipeleka wapi? Muombeni hata Lowassa . Mnatushafulia jiji na mjengo wenu mchafu.