He!...Aisee!Mi ningekuwa huyo Jaji G. R ningeomba kamba nijinyonge hakianani!
Kwani itakuwa nimesalitiwa mchana kweupe!
Na kama nitakuwa sijajinyonga basi natoboa mazungumzo yote A to Z ilivyokuwa mpk nikatoa hukumu kinyume na.........!!
Ungekuwa ndiye Jaji Gabriel Rwakibalila (aliyemvua ubunge G.Lema) ungejisikiaje baada ya hukumu ya Lema ya leo?
-umedahlilishwa?
-Umeonewa
-kawaida tu?
-umegeukwa?
-umesalitiwa?
(namtakia afya njema jaji, arudi nchini afurahi na familia)
unajua hata ukistaafu haisaidii sana maana uongo uliosemwa hauwezi kubadilika kuwa ukweli.Ningeomba kustaafu utumishi wa umma!