Juzi katika kupekua pekua makablasha yangu niliikuta picha ya bibi yangu ambayo inaonyesha ilipigwa mwaka 1951. Ilikuwa iko katika hali nzuri na bahati nzuri kulikuwa na kivuli chake (negative)...
Wadau baada ya JK kupitishwa maana hakushinda uchaguzi kwa kuwa hakugombea hakuwa na mpinzani , aliamua kugawa saa za mkononi zenye picha yake.Mie niliikataa pamoja na kwamba Mimi ni mwana CCM kwa...
Tukiwa tunaelekea kukamilisha mwaka 2012 na zikiwa zimebaki siku 10,ingelikuwa ni vyema sisi Wananchi wa Tanzania tukiwataja watu 10(Yaani kila mtanzania ataje watu 10) ambao kwake ni mashujaa na...
Ujumbe huu umfikie kila mmoja na mahala popote ulipo kwenye jamvi hili tukufu la JF kwamba una wakati murua wewe na familia yako, ndugu na wapendwa wako wote.
Na wakati huohuo tukumbuke kuwa kuna...
Ndugu wanajf kama mjuavyo ni siku 7 tu zimebaki kukamilisha mwaka wa 2012,je ni kitu gani utokisahau mwaka,mafanikio na malengo yako?je nini malengo yako kwa mwaka ujao?kwangu mie mwaka huu zaidi...
ningependa waziri prof muhongo akautangazia uma wa tanzania kuwa mgao umeanza na kupata ratiba kamili maana tunaona sasa ni kama maigizo tu,kila mala umeme unakatika na hapa tunasheherekea sikuu...
wale wanasiasa wa kudandia matukio n akutoa matamko ya kuamsha mhemko wa hisia za Watu.Wanaosema wanaweza geuza hii mikoa overnight na kuwa kama dubai tunaomba watazame tena haya...
Ikiwa ni takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa bila ya serikali ya wanafunzi,wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili wanakaribia kupata serikali yao. Serikali ya wanafunzi...
Zaidi ya sh 900 milioni zimetumika kwenye mradi wa umeme wa jua kwa ajili ya shule ya Sekondari na Zahanati katika Jimbo la Katavi, ambao umegharamiwa na serikali na kupitia mfuko wa maendeleo wa...
Nadhani baadhi yetu tumeliona gazeti jipya la Mwanahabari ambalo kwa kiasi kikubwa linajaribu kujifananisha na gazeti la Mwananchi kwa kuanzia mwonekano.
Kwa tetesi nilizonazo, gazeti hili lina...
Katika hali inayoendelea huko cdm,kunamakundi mawili,,moja ni kundi linalotaka dr ajiuzulu uongozi,ikiwezekana atimuliwe, . Ushauri wangu kuwe na kura ya maoni, aondoke au abaki. Mod fanya utaratibu,
Nani amewahi kuiona picha ya mwalimu Nyerere akiwa amevaa sare ya CCM? kama yupo aliyewahi kuiona naomba aiweke humu JF tupate kuiona the way alivyokuwa anaonekana. Kama picha hiyo haipo tujiulize...
I choose this song known as "you're still the one" by shania twain to send my christmas greetings to CHADEMA,the lyrics are dedicated to the party!!
Merry x-mas and happy new year!
(When I...
Meneja wa Hoteli ya Kitalii ya Tree Top, iliyoko ktk Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, wilayani Moduli ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kukutwa na ngozi za chui nyumbani kwake, akiwa katika harakati za...
Ni mmoja wapenzi wa kipindi cha michezo cha clouds lakini wanapoelekea wanazidi kuwa watoto zaidi sijui kisa cha kubadilik88.4-88.5 ama lah
majuzi walikuwa wanabishana kuhusu kupangwa kwa ratiba...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, ametofautiana na Waziri mwenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Thereza Huviza, akipinga hatua yake ya kuzifungia hoteli mbili...