Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,934
- 26,512

Ujumbe huu umfikie kila mmoja na mahala popote ulipo kwenye jamvi hili tukufu la JF kwamba una wakati murua wewe na familia yako, ndugu na wapendwa wako wote.
Na wakati huohuo tukumbuke kuwa kuna wale ambao hawasheherekei sikukuu hii kwa sababu hii na ile. Christmas inaweza kuwa ni siku nzuri lakini kwa wengine inaweza kuwa siku mbaya na yenye huzuni.
Popote ulipo na chochote unachofanya uwe na sikukuu njema.
Christmas njema.