Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,337
- 2,907
Juzi katika kupekua pekua makablasha yangu niliikuta picha ya bibi yangu ambayo inaonyesha ilipigwa mwaka 1951. Ilikuwa iko katika hali nzuri na bahati nzuri kulikuwa na kivuli chake (negative) sijui vizuri kiswahili chake, yule mtu aliye nisafishia akaniambia kuwa usafishji picha wa zamani ulikuwa na ubora kuliko hii ya sasa ya ku-print. Niwaulize ma-camera men wa zamani kidogo au mtu mwenye uzoefu wa picha za mnato, je ili lina ukweli?