Hii ndo tanesco

Hii ndo tanesco

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
204
ningependa waziri prof muhongo akautangazia uma wa tanzania kuwa mgao umeanza na kupata ratiba kamili maana tunaona sasa ni kama maigizo tu,kila mala umeme unakatika na hapa tunasheherekea sikuu zote hizi tukiwa katika giza,.umeme umekatika tukiwa katikati ya ibada imebidi wazee wa kanisa watafute genereta na kwa bahati mbaya zaidi likawa halina mafuta,.du!this is tz,.tabata giza leo sijui kwingine,.
 
Waziri anajua nchi ya wadanganyika! Waandishi wa habari nao hawaoni kama kuna mgao unaostahili ufafanuzi wa waziri anaye danganya kwamba hakuna mgao!
 
hata akitangaza mgawo watanzania hawana la kufanya zaidi ya kulalamika leo tu then kesho wamesahau
 
Dah mi sielewi!sie ma bachalor 2lozoea kupika kwa rice cooker ndo vile tena,kila k2 kimeharibikia umo,ila fresh 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom