DC Lt-Col. Ndomba to CoS Lt-Gen Ndomba in ten years!

RUTAJUMBUKIRWA

Senior Member
May 3, 2009
185
89
Mkapa alimwacha akiwa na cheo cha Luteni Kanali na akiwa DC wa Ngara. Leo ana cheo cha Luteni Jenerali, yaani amevuka vyeo vya Kanali, Brigedia na Meja Jenerali

Alikuwa DC sasa Chief of Staff, mtendaji mkuu wa jeshi. Ndomba ana kismatiiiii: baby:: third:
 
Mkapa alimwacha akiwa na cheo cha Luteni Kanali na akiwa DC wa Ngara. Leo ana cheo cha Luteni Jenerali, yaani amevuka vyeo vya Kanali, Brigedia na Meja Jenerali.
Alikuwa DC sasa Chief of Staff, mtendaji mkuu wa jeshi. Ndomba ana kismatiiiii:baby::third:
Luteni Jenerali Ndomba si kusema kuwa ana bahati bali ni utendaji mzuri kwa majukumu anayokabidhiwa huwa anayatekeleza kwa weledi mkubwa! Huyu jamaa hajavuka vyeo, mpaka anapandishwa cheo kuwa Luteni Jenerali alikuwa Meja Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa hivyo si sawa sawa kusema aliviruka vyeo vingine kwa mfano kabla ya kuwa Mkuu wa JKT alikuwa Mkuu wa Utumishi jeshini akiwa na Cheo cha Brigedia Jenerali hivyo si sawa sawa

kukurupuka na kusema kitu ambacho hauna uhakika nacho tujifunze kusema baada ya kufanya utafiti.
 
Luteni Jenerali Ndomba si kusema kuwa ana bahati bali ni utendaji mzuri kwa majukumu anayokabidhiwa huwa anayatekeleza kwa weledi mkubwa! Huyu jamaa hajavuka vyeo,mpaka anapandishwa cheo kuwa Luteni Jenerali alikuwa Meja Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa hivyo si sawa sawa kusema aliviruka vyeo vingine kwa mfano kabla ya kuwa Mkuu wa JKT alikuwa Mkuu wa Utumishi jeshini akiwa na Cheo cha Brigedia Jenerali hivyo si sawa sawa
kukurupuka na kusema kitu ambacho hauna uhakika nacho tujifunze kusema baada ya kufanya utafiti.

Spot on.., kweli tupu.
 
Was with him for a short while in Ngara when he arrived to succeed then outgoing DC Mtambalike, salute to Gen. Ndomba, very smart upstairs!
 
HIi mbona kawaida mbona majaji wa vodafasta hamkusema?hadi pale lissu alipo waanika,vyeo hivyo na vile vya jeshi la wokovu kunatofauti?
 
HIi mbona kawaida mbona majaji wa vodafasta hamkusema?hadi pale lissu alipo waanika,vyeo hivyo na vile vya jeshi la wokovu kunatofauti?

Eeh UMUCHAMICHI kana nke ughuchamicha hano? Hahaha tata issue ya majaji wa vodafaster haiwezi kujustify promotion za Lt.Gen. Ndomba kama hazikuwa zikifuata sheria na taratibu zilizopo.
 
Last edited by a moderator:
Mkapa alimwacha akiwa na cheo cha Luteni Kanali na akiwa DC wa Ngara. Leo ana cheo cha Luteni Jenerali, yaani amevuka vyeo vya Kanali, Brigedia na Meja Jenerali.
Alikuwa DC sasa Chief of Staff, mtendaji mkuu wa jeshi. Ndomba ana kismatiiiii:baby::third:
are you sure unazungumzia mtu mmoja?
 
kuhusu ndomba kwa kweli sijaelewa maana mara anakuwa DC (Ngara) then RC (Arusha) baadae anarudishwa Jeshini hakika sijaelewa formula iliyotumika kumrusha rusha katika maeneo mawili tofauti (Jeshini) then SIASA then Jeshini au ni shosti na Mkulu?
 
kuhusu ndomba kwa kweli sijaelewa maana mara anakuwa DC (Ngara) then RC (Arusha) baadae anarudishwa Jeshini hakika sijaelewa formula iliyotumika kumrusha rusha katika maeneo mawili tofauti (Jeshini) then SIASA then Jeshini au ni shosti na Mkulu?

Naona ushahidi wa mazingira unaashiria kuwepo kwa "ushosti/uswahiba" wa namna fulani na ikulu.
 
kuhusu ndomba kwa kweli sijaelewa maana mara anakuwa DC (Ngara) then RC (Arusha) baadae anarudishwa Jeshini hakika sijaelewa formula iliyotumika kumrusha rusha katika maeneo mawili tofauti (Jeshini) then SIASA then Jeshini au ni shosti na Mkulu?

hata mimi akili yangu ilikua inajiuliza ni upeo wangu mdogo wa kupambanua masuala au ni ile mipango ya hali ya juu zaidi? Kwa kumpandisha cheo afande awe mkurugenzi wa idara nyeti na akiwa active on military ina maana atakua anapokea direct order za amirijeshi mkuu bila kuhoji chochote, maana yake mambo yatamnyookea pale anapoona jahazi linakaribia kuzama.

**Ni mtazamo tu**:confused2:
 
Hebu achaneni na huyo Ndomba kwani hamjui kete inayoenda kingi kwenye mchezo wa draft ni ile iliyoko mbele? Kama iko mbele na haijaliwa na kete za adui ( hajaharibu kazi ) kwanini isiende kingi? Nchi yetu imeharibika ufisadi kila kona matatizo kibao lakini ktk pumba nyingi wapo wachache waliosimama vizuri na hao lazima wapae.

Ndomba ni safi mi sitashangaa akija kuwa Rais wa nchi hii ingawa sijui kama ana mawazo hayo. Yeye alikuwa mkuu wa jkt kwa maana hiyo yuko mbele mlitaka atolewe mtu nyuma yake aje kuwa C of S? mbona aliporudishwa jeshini hamkusema? Yule ni jembe ndio mana wakubwa walipokuna vichwa nani wa kulirudisha jeshi letu katika msitari Ndomba aliangaza juu ya wengine sasa wangemuacha tu kwa kuwa mtasema? au kwa kuwa ni shostito wa wakubwa? na ni mtendaji gani mzuri ataacha kupendwa na wakubwa? kuwa shostito wao?
 
Hebu achaneni na huyo Ndomba kwani hamjui kete inayoenda kingi kwenye mchezo wa draft ni ile iliyoko mbele? Kama iko mbele na haijaliwa na kete za adui ( hajaharibu kazi ) kwanini isiende kingi? Nchi yetu imeharibika ufisadi kila kona matatizo kibao lakini ktk pumba nyingi wapo wachache waliosimama vizuri na hao lazima wapae. Ndomba ni safi mi sitashangaa akija kuwa Rais wa nchi hii ingawa sijui kama ana mawazo hayo. Yeye alikuwa mkuu wa jkt kwa maana hiyo yuko mbele mlitaka atolewe mtu nyuma yake aje kuwa C of S? mbona aliporudishwa jeshini hamkusema? Yule ni jembe ndio mana wakubwa walipokuna vichwa nani wa kulirudisha jeshi letu katika msitari Ndomba aliangaza juu ya wengine sasa wangemuacha tu kwa kuwa mtasema? au kwa kuwa ni shostito wa wakubwa? na ni mtendaji gani mzuri ataacha kupendwa na wakubwa? kuwa shostito wao?

Ni kweli kabisa unayosema. Wengi hatuna ukweli wa vitu ila tunatoa comments kama vile tunajua tunachokiongea. Kama mtu mchapakazi, kwanini asipandishwe vyeo? Tumejaza majitu majinga majinga kwenye system zetu sababu ya kufuata mfumo usioleta tija yoyote. Nakubaliana kabisa na wewe kwamba sasa hivi tumpe nguvu afanye vizuri kazi yake. Tuache kumpiga majungu yasiyo na msingi.
 
Simjui huyu Ndomba lakini kama anagonga mzigo wacha apewe mavyeo. Kuna vilaza kibao kwenye system lol
 
Alipendekezwa apewe Ukuu wa PCCB(Takukuru) ili awanyooshe wala rushwa nafikiri ile wire ya "weaklik" iliharibu kila kitu maana Dr Hosea angetolewa pale lazima angeomba hifadhi USA na kule angeropoka mambo yoote ya mkulu na ya kulindana yaliyopo hapa Tanzania, ingemuwia ngumu sana kwanza kuwasafisha hao wangetajwa na Hosea, wakaona basi acha huyu msema hovyo amalize na JK wake .... wamvumilie tu!
 
Mtasema sana, na atakuja kuwa General tu! mchapa kazi, muungwana na anavigezo
 
Alipendekezwa apewe Ukuu wa PCCB(Takukuru) ili awanyooshe wala rushwa nafikiri ile wire ya "weaklik" iliharibu kila kitu maana Dr Hosea angetolewa pale lazima angeomba hifadhi USA na kule angeropoka mambo yoote ya mkulu na ya kulindana yaliyopo hapa Tanzania,ingemuwia ngumu sana kwanza kuwasafisha hao wangetajwa na Hosea,wakaona basi acha huyu msema hovyo amalize na JK wake....wamvumilie tu!

Kumbe enh! Kwa hiyo tuvumilie kuwajenga wala rushwa kwa miaka mitatu iliyobaki? Duh! Mbona kazi tunayo, na hawa trafic wote wanaojazwa barabarani kwenda kukusanya mboga za wakubwa, loh! Kila ofisi hakuna huduma mpaka kitu kidogo.
 
Huwa jeshini pia wana kitu inaitwa accellerated promotion, mtu anaweza pata vyeo hata vitatu kwa mda masaa tu, hii ni kutokana na proven track record ya achievement zake na namna gani zina mchango kwenye utumishi wake jeshini ........ for instance nina ndg yangu, japokuwa sasa ni marehemu, alipandisha vyeo kutoka colonel mpaka brigadier jenerali...... inasemekana alikuwa na beef na chief of staff aliyepita mwenye asili ya kule kwa mamvii....... imagine jamaa alikuwa colonel toka 1983, lakini alikuja kupewa Ujenerali mwaka 2006 ...... jeshini nako kuna mambo!
 
Duuh! hapa lipo jambo, ninavyoelewa U DC ni cheo cha makada wale waliokosa nafasi zingine za wizarani na bungeni, hivyo hupewa U DC na RC wasikae kijiweni. na hii ni kwa washikaji wa karibu wa mkulu kwa namna moja ama nyingine.

DC ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM wilayani, kadahalika na RC mkoani. Sasa huyu jamaa atawezaje kutekelza ile dhana kuwa wanajeshi hawaruhusiwi kuwa wanasiasa, jee? atakuwa ameachana na Ukada!
 
Back
Top Bottom