Hazina wanasifiwa kwa lipi?

Hazina wanasifiwa kwa lipi?

afsa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
1,986
Reaction score
1,593
KUNA WATU WAMEWASIFU HAZINA ETI WAMEWAHISHA MISHAHARA YA WATUMISHI, ALIYEPOSITI AMEFANYA UCHUNGUZI WA KUTOSHA? PLS NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK!! UNGETAKIWA KUWASIFU KWA MAHALI ULIPO SIO KUJUMUISHA TZ NZIMA. NA MIMI NISIWAHUKUMU HAZINA MOJA KWA MOJA INAWEZEKANA WAO WAMESHATOA PAYROLL LAKINI KUNA WAPUUZI WACHACHE HUMU KATIKATI WAMEKWAMISHA.
NINACHOTAKA KUSEMA HAPA NI KWAMBA KUNA SEHEMU AMBAPO SALARY BADO HAPA NILIPO NI MOJAWAPO YA SEHEMU HIZO. :wof:
 
Ingawa kwenye hoja yako umejichanganya, lakin nadhan unachomanisha ni 'kwanin baadh ya halmashaur hazijatoa mishahara kabla ya xmas??

Ni kwel hazina waliwah kutoa mishahara, tatizo ni huku kwenye halmashaur zetu, ukilitimba, uzembe, kutojali, uvivu, kutokuona umuhim n.k. Mfano Kiteto, nimeona jamaa zangu wanalalamika, nao hawajapata mpaka leo.
 
inasemekana mwaka 2006,ilokuwa Benki ilipe mishahara ya watumishi hata kama fedha haijatumwa Benki.ili mradi tuu PAYroll iwe imetumwa.Sasa inawezekana Benki yenye mkataba na Hazina,wanasubiri mpaka T.T itumwe kwenye Benki.Au Taasisi husika hazijatuma Benki orodha ya majina[PAYROLL] kwa ajili ya Malipo ya Mishahara.

WALIO KATIKA HALMASHAURI,wafuatilie kama,ni kweli mkataba wa BENKI na HAZINA kulipa mishahara kabla ya Tarehe 25 ya mwezi,bado upo VALID.

Kwani Benki ikilipa mishahara kabla ya T.T kutumwa,benki inapata faida(interest),inawezekena tatizo ni Taasisi hazikumbuku huu mkataba wa HAZINA na BENKI.!!!
 
mshahara umeingia kwenye akaunti yangu saa 2 usiku leo 25/12/2012,nilicheki kwa mara ya mwisho saa 1 na nusu usiku ulikuwa bado,najiuliza NMB wameingia ofisini usiku ?
 
mshahara umeingia kwenye akaunti yangu saa 2 usiku leo 25/12/2012,nilicheki kwa mara ya mwisho saa 1 na nusu usiku ulikuwa bado,najiuliza NMB wameingia ofisini usiku ?

Duuh sio mbaya wewe umeiotea, mimi nimetoka Dry X-mass.
 
Watu wengine wanapost mada kuangalia hasira za watu
Hiv una akili timamu ukipewa ofa siku moja bas aliyekupa ofa ni mtu mzuri kwako !
Inaweza kuwa anahitaji kukumiza na je wewe ni kuku wa kukamatwa na punje za mahindi,mpunga/mchele au mtama?
Tafakar kabla ya kuongea Watanzania wa leo si wa jana na kumbuka wengi ni vijana wasio na ajira kwa hiyo hata hiyo mishahara hawanufaiki nayo
Na kumbuka kama ungejua wenye ajira na wasio na ajira hata usingesema na kumbuka wasio na ajira wanaongezeka kila mwaka na ajira hakuna je mishahara kwao inawahusu nini
Na wewe unaonesha hata upeo wako ni mdogo maana huwezi msifu mtu kwa kumwona siku mmoja na kusema mwaminifu au mchapakazi!
Miez yote ya nyuma wengine wamepokea tarehe za katikati ya mwezi mwingine je hapo tusemeje
Wanaosema ni wanafiki tu hakuna chochote kazi kujikomba tu!
 
Back
Top Bottom