Chama tawala watafutwa msibani.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
195
Leo ktk kijiji cha chalowe,njombe,kulikuwa na mazishi ya mtu mmoja ambaye ni mstaafu wa utumishi wa umma ,chadema waliwasilisha salaamu na rambirambi wakimsindikiza mtoto wa marehemu ambaye ni kada wa chama hicho.baada ya salamu kutoka cdm mwendesha ratiba aliuliza kama chama tawala wapo watoe salamu pia.alidai kuwa marehemu kabla ya kuajiriwa na serikali aliwahi kuwa mwenyekiti wa kijiji enzi za chama kimoja.hakukuwa na salamu toka chama tawala.
je,chama tawala walikosea kutotoa salaamu au la? Naomba mchango wenu wa mawazo

 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,512
2,000
Siku hizi watu wamegeuza misiba sehemu ya siasa. Ila ccm wanapenda misiba yenye wauza sura wengi, hata kama alikuwa na kadi ya cdm lazima wakaombe nafasi ya kuongea. Huko vijijini hakuna sehemu ya kuuzia sera.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom