Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Wanajf naomba kujuzwa ni lini huu mkonga utazinduliwa rasmi na utasaidia kwa kiasi gani esp kwa watu wa vijijini na jee ni kwa ajili ya kurusha mawimbi ya internet tu ama mpaka simu tv na radio? I'm desparate coz niko kijijini simu ni airtel tu mpaka nipande mlimani. Thanx in advance.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums