Thread ninayoipenda jf

Thread ninayoipenda jf

CLONEY

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
104
Reaction score
29
Hakuna thread ninayoipenda humu JF kama "WALINZI WA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI"karibu kila siku naifungua asante kwa ICADON NA GAME THEORY.

OMBI:Tafadhali naomba isifutwe jamani maana ntaugua kabisa.
 
mie hakuna uzi ninaoupenda kama wa proof of gods existence without holy books!! yaani huu uzi ukitaka kupata raha ya Kiranga na Eiyer kausome kwa kutulia lol!

sijui Kaunga aliwaza nn aisee.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna thread ninayoipenda humu JF kama "WALINZI WA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI"karibu kila siku naifungua asante kwa ICADON NA GAME THEORY.

OMBI:Tafadhali naomba isifutwe jamani maana ntaugua kabisa.

naomba Link na mm niipende
 
Hakuna uzi naupendaga kule MMU kama ule unasema SISI NDIO WANAUME BWANA kutoka kwa
Mtambuzi Kiukweli huwa unanikamata mbayaaa !!
 
Mi naipenda 'mtaji tsh. Milioni kumi' iliyoletwa na 'mbu' mwaka 2009 kwenye jukwaa la ujasiriamali..
 
Hakuna thread ninayoipenda humu JF kama "WALINZI WA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI"karibu kila siku naifungua asante kwa ICADON NA GAME THEORY.

OMBI:Tafadhali naomba isifutwe jamani maana ntaugua kabisa.

hivi The game theory yupo wapi?sijaona recent posts zake,nilikua nafatilia mpambano wake na mzee mwanakijiji katika thread moja hivi,sijui yu wapi huyu gwiji,
 
Thread zote alizoanzisha le mutuz kwa kweli zimeusuuza moyo wangu. I hope kichaa cha.kuaga jf kitamtulia this year.
 
Back
Top Bottom