Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania

Mafia wa Italia na mihadarati Tanzania

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,940
Reaction score
7,849
Jamani wale waliosoma Godfather au kwa namna tofauti wana elimu ya jinsi wanachama wa mafia ya kitaliani inavyofanya kazi watanisapoti kwenye hii thread.

Tangu kuwepo hoteli nyingi za wataliani mwambao wa mashariki ya zanzibar tatizo la mihadarati limekithiri zanzibar na tanzania kwa jumla. Wenye hoteli hizo hakika wameunda mitandao thabiti yenye ma-Don katika ngazi mbalimbali. Ma-Conciliori ni pamoja na mawakili mashuhuri nchini.

Kama wengi wasivyofahamu m-italiano na mihadarati ni kama msomali na pembe za faru na meno ya tembo. Jambo la kushangaza hawa jamaa wanamiliki baadhi ya visiwa vidogo wakijidai ni hoteli lakini kwa hakika ni vituo vya ku- handle mihadarati. Kimoja cha visiwa hivyo ni pale mbegani bagamoyo.

Wakubwa wengi nchini inaelekea wako kwenye payroll ya mafia kulinda hiyo biashara.
 
Mafia ni noma mkuu wangu, wamarekani wenyewe na watu makin na taasisi zao makini wanahangaishwa na hawa watu na wengine sampuli zao.

Wateja wao wakubwa likely watakuwa hao wageni wao. Hii ni busnes yenye mafweza kibwena. Google kuhusu CIA, watu wa dini etc na hiyo busines. Hata wanene na tunaowaheshimu na kuwaabudu wamo inside. Fweza haina adabu
 
kweli hii biashara inaendeshwa kwa staili ya mafia kuanzia vijana wanaoenda kuchukua huu mzigo wanavyopata passport,wanavyopita kwenye vituo vya ukaguzi,wakikamatwa kesi zao hazichukui muda na ndio maana pamoja na intepol pamoja na wale vijana kutoa orodha ya wahusika lakini mpaka sasa hivi hakuna hatua zilizochukuliwa
Mafia walikuwa wanawatu bwao kwenye payroll kuanzia polisi,majaji,wanasheria,wabunge ndio maana ilikuwa shida kuvunja network yao
 
Hivi yule wa Mediterraneo na Runawy kumbe naye ni Mtaliano,Pia tusiwasahau na Wabulgaria hawavumi ila nao wapo,nao wanaanza kuenea siku hizi mjini.
 
Jamani wale waliosoma
Godfather au kwa namna tofauti wana elimu ya jinsi wanachama wa mafia ya
kitaliani inavyofanya kazi watanisapoti kwenye hii thread.

Tangu kuwepo hoteli nyingi za wataliani mwambao wa mashariki ya zanzibar
tatizo la mihadarati limekithiri zanzibar na tanzania kwa jumla. Wenye
hoteli hizo hakika wameunda mitandao thabiti yenye ma-Don katika ngazi
mbalimbali. Ma-Conciliori ni pamoja na mawakili mashuhuri nchini.

Kama wengi wasivyofahamu m-italiano na mihadarati ni kama msomali na
pembe za faru na meno ya tembo. Jambo la kushangaza hawa jamaa
wanamiliki baadhi ya visiwa vidogo wakijidai ni hoteli lakini kwa hakika
ni vituo vya ku- handle mihadarati. Kimoja cha visiwa hivyo ni pale
mbegani bagamoyo.

Wakubwa wengi nchini inaelekea wako kwenye payroll ya mafia kulinda hiyo
biashara.

Lakini mkuu, kwenye Godfather, Don Vito Andolin Corleone alikuwa hataki kabisa kusikia ishu za drugs, hadi ikapelekea kupigwa risasi... Hao wapenda kuuza unga walikuwa ni Bazin na Tataglia...
 
Jamani wale waliosoma
Godfather au kwa namna tofauti wana elimu ya jinsi wanachama wa mafia ya
kitaliani inavyofanya kazi watanisapoti kwenye hii thread.

Tangu kuwepo hoteli nyingi za wataliani mwambao wa mashariki ya zanzibar
tatizo la mihadarati limekithiri zanzibar na tanzania kwa jumla. Wenye
hoteli hizo hakika wameunda mitandao thabiti yenye ma-Don katika ngazi
mbalimbali. Ma-Conciliori ni pamoja na mawakili mashuhuri nchini.

Kama wengi wasivyofahamu m-italiano na mihadarati ni kama msomali na
pembe za faru na meno ya tembo. Jambo la kushangaza hawa jamaa
wanamiliki baadhi ya visiwa vidogo wakijidai ni hoteli lakini kwa hakika
ni vituo vya ku- handle mihadarati. Kimoja cha visiwa hivyo ni pale
mbegani bagamoyo.

Wakubwa wengi nchini inaelekea wako kwenye payroll ya mafia kulinda hiyo
biashara.

Prudent Mafioso wana-invest ela zao kwenye Financial Markets, biashara za kuendesha mahotel au casino wanaziona za ki PIMP...
 
Sawa mkuu umenisoma fresh.... ndio hao hao mafioso.
 
Hawa watu nawaogopa mpaka hii thread naogopa kuchangia
 
Mafia ni noma mkuu wangu, wamarekani wenyewe na watu makin na taasisi zao makini wanahangaishwa na hawa watu na wengine sampuli zao.

Wateja wao wakubwa likely watakuwa hao wageni wao. Hii ni busnes yenye mafweza kibwena. Google kuhusu CIA, watu wa dini etc na hiyo busines. Hata wanene na tunaowaheshimu na kuwaabudu wamo inside. Fweza haina adabu


NAOMBA hyo link kaka nijisomee!!
 
Back
Top Bottom