RubenM Senior Member Joined Apr 15, 2009 Posts 131 Reaction score 10 Jan 1, 2013 #1 Hali ilikuwa mbaya sana bkoz wengine walivaa nguo zinazotakiwa kuwa ndani, wao wakavaa nje... Najiuliza, kuvaa nusu uchi ndio kupendeza???
Hali ilikuwa mbaya sana bkoz wengine walivaa nguo zinazotakiwa kuwa ndani, wao wakavaa nje... Najiuliza, kuvaa nusu uchi ndio kupendeza???
T Twalo frank Member Joined Dec 11, 2012 Posts 29 Reaction score 4 Jan 2, 2013 #2 Nikujizalilisha sana mkuu.