Jinsi gani unaitumia Tissue?

Jinsi gani unaitumia Tissue?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Nimekuwa nikifuatilia jinsi watu wanavyotumia hizi tissue za kushikia vitafunwa hasa kwenye migahawa hii ya take away, nimegundua wengi wetu hatuzingatii kanuni za afya maana hizi tissue ni mbadala wa kunawa mikono.

Utamuona mtu kashika kitafunwa kwa tissue mkono wa kushoto lakini mkono wa kulia ndiyo unamega kuweka kinywani, kumbuka huu mkono haujanawa ndiyo maana nasema baadhi ya watumiaji wa tissue hawazingatii kanuni za afya.
 
Labda anakuwa anajizuia mkono usishike mafuta na sio kujikinga na vimelea vya magonjwa?
 
hivi kwani King'asti tissue ziko sterile??
kipi bora?? kushika na mkono wako ambao unauamn nusu ama na tissue ambayo huijui ilivyo kiusafi??

binafsi huwa nashika na leso yangu ambayo ni safi at least to me
 
Last edited by a moderator:

mmmh, mwenzangu inategemea ulipo! Ila tissue mi natumia pale ambapo sina access ya kunawa. But lucky me natembea na wet cleansing tissue manake inaosha vumbi. Na wale wapendwa wasionawa mikono baada ya chooni (uliza wanaume humu wangapi baada ya short call wananawa na sabuni, utashangaa!). I dont trust my hands na nanawa kila nnapopata chance, kama ni kitu cha kula natumia mkono wa kushoto (manake hausalimii watu, lol)
 
Last edited by a moderator:
Osha mikono kabla ya kula, halafu kula vyakula vya moto.
Tissue ni vumbi tu lililogandiswa na kufanywa karatasi .... not necessarily sterile!
 
Labda anakuwa anajizuia mkono usishike mafuta na sio kujikinga na vimelea vya magonjwa?

Mimi huwa nalazimika tu kutumia tissue, ila naamini zaidi katika kunawa mikono.

Msinijudge vibaya huo ni mtazamo wangu binafsi.
 
mmmh, mwenzangu inategemea ulipo! Ila tissue mi natumia pale ambapo sina access ya kunawa. But lucky me natembea na wet cleansing tissue manake inaosha vumbi. Na wale wapendwa wasionawa mikono baada ya chooni (uliza wanaume humu wangapi baada ya short call wananawa na sabuni, utashangaa!). I dont trust my hands na nanawa kila nnapopata chance, kama ni kitu cha kula natumia mkono wa kushoto (manake hausalimii watu, lol)

linapokuja swala la salam na kufungua mlango huwa situmii mkono. mdomo unatosha for salam na mlango nagungulia mwili wote yaaani nausukuma kwa bega langu.
 
linapokuja swala la salam na kufungua mlango huwa situmii mkono. mdomo unatosha for salam na mlango nagungulia mwili wote yaaani nausukuma kwa bega langu.
im careful with doors ila kuna vitasa na zile za kupull. Na salamu kuna watu wanajua kustretch mikono balaa! I dont wanna seem rude, nasalamia tu. Ila mfano nikiwa nimetoka nje ya home nikiingia kwangu tu nanawa na sabuni. Hapo nakuwa huru kula na kushika chochote. Taabu kweli, tunahofia mikono what about mikono iliyoserve?
 
acha mamii ila mm naondoka na lunch box job na kapu la chai lol! si unajua mwl??kwenye salam wale wanaonganganiza mikono huwaga siwapi kiganja marufuku sijalo watanionaje kwakweli.
 
Mimi huwa nalazimika tu kutumia tissue, ila naamini zaidi katika kunawa mikono.

Msinijudge vibaya huo ni mtazamo wangu binafsi.

nakubaliana na wewe. Tissue haibebi uchafu sana manake ni dry. Nzuri ni uma na kisu, lakini kunawa ni best. Ila sasa maji yenyewe ya kunawa kama ni ya kiswazi usiombe amoeba lake. Mie nanawa lakini ni lazma nikaushe mikono. So tissue hata kama hazipo nna pocket tissue ama wet wipes.
 
Hahahaaha, mwalimu gfsonwin umenichekesha. Nna cousin wangu mwalimu mapambano primary, anakaa mwenge. Tunamtania anaondoka na vitafunwa akifika shule anauza afu lunch time anatembea kurudi home kuwahi ugali. Basi anajibu huwa anaficha kwenye bra, tunacheeka! Huyo mwalimu anatembea na sanitizer, namuambia unaua vijidudu unakula vumbi lao!
ila mwalimu salimia tu. Nilishaenda for a business dinner nyumbani kwa mfaransa mmoja, their son akaja kusalimia tu na kupotea. Hakakutoa kiganja kwa mtu, i notived na nikakamind!
 
Last edited by a moderator:
Walimu wako makini kwa usafi.
 
Back
Top Bottom