KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
Enyi vigogo wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)kumbuka mnavyofurahia maisha na familia zenu sisi wafanyakazi wa Mikoani kwa makusudi mmeendelea kututesa kwa kutucheleweshea mishahara mpaka leo,hata tumeshindwa kufurahia na familia zetu katika sikukuu zote za mwisho wa mwaka.Kumbuka huo ni ujasiri wa kifisadi wa kuzitesa familia na wote wanaotutegemea.