Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
Kwa kweli sielewi kigezo gani VODACOM wanatumia kupunguza salio langu kwenye simu.Yaaani mtandao unanichosha, ninaweka Tsh 500/= jioni, asubuhi imebaki Tsh 200/=.Kwani salio wanalipeleka wapi wakuu, hakuna huduma yoyote niliojiunga na Internet Program zote ziko off!!. au ndo kufidia Vocha ya Tsh 500/= walio ileta baada ya ile ya Tsh 450/=?,au na nyi wenzangu utaratibu ndo huo huo???.