Watanzania hatuhitaji tena jeshi la zima moto!!!

Watanzania hatuhitaji tena jeshi la zima moto!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,917
Hembu fikiri singida mjini palivo padogo lakini gari la zimamoto limefika kwenye ajali ya moto baada ya masaa 2!kamanda wa zimamoto anasema eti alienda kununua matairi ndiyo maana wamechelewa!Wananchi wamewapiga mawe na kukata mpira wa maji,Jee kwa mtindo huu wa gari la zima moto kufika katika eneo huku wananchi wakiwa wameshamaliza kazi kuna umuhimu wowote wa kua na jeshi hili lisilo na tija kwa wananchi?source ITV habari
 
Back
Top Bottom