Ndugu wadau wa jamii forum:
Baada ya kufuatilia kwa umakini sakata la Gesi huko Mtwara linanipa picha ifuatayo
1} Watanzania sasa wanahitaji serikari ya majimbo
2) Wananchi wamechoshwa na umaskini uliokithiri huku familia za watawala wakiendelea kuwa mamilionea
3} Wananchi wamegundua central government haiwezi kuwa msaada kwa raia wote 44 milioni
4) Hakuna uwiano wa maendeleo na viongozi wana amuasehemu wanayotaka maendeleo yaenda kama pinda na Katavi
5) kwamba central government inahitaji viongozi waadilifu na wenye hofu ya mungu kama Nyerere ambao hawapo kwenye enzi ya sasa ya kashfa kama za EPA,BUZWAGI.TWIGA,BULYANKULU NK
6) Kwamba hata safari za rais za kwenda ulaya na usa zaid ya mara 300 ni sababu hela inatoka Mtwara,mwanza,Arusha wao wanajipangia
7) Kwamba zile hela wanazopeleka Central government ndio zinazotumika kwenda kuwatibu watawala nje ya nchi na kuwapa posho mbali mbali wakati wananchi hawawezi hata kupata kidonge kimoja cha Tsh 50.00
8) Kwamba baada ya hela kwenda kufanyia mambo ya msingi na kulipa mishahara wafanyakazi wa serikari hasa walimu,madaktari,mapolisi,na wafanyakazi mbalimbali inatumika kununua mashangingi kwa watawala wasio na uwezo wa kuleta maendeleo kwa wananchi,na hizo pesa hutumika kutesa wananchi na kuwatupa mabopandwe
9) Wananchi wamegundua hela hizo ambazo zinapelekwa Dar ndio zinazotumika kuhonga na kuingiza viongozi vibaraka kwa watawala
10).................................
MZOZO WA GESI MTWARA NI UHITAJI WA WATANZANIA KWA SERIKALI YA MAJIMBO AMBAYO KILA JIMBO LITAKUWA LINALINDA RASILIMALI ZAKE NA GAVANA WA JIMBO ATAWAJIBIKA KWA WANANCHI WA ENEO HUSIKA