Tanzia kwa mwl Mbise a.k.a Mkuda katutoka

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Wapendwa tunasikitika kumpoteza mwalimu wetu mpendwa aka Mkuda Mr Mbise kwa wale wote waliopita Umbwe sec school miaka ya sitini mtamkumbuka alivyokuwa mcheshi kwa wanafunzi.

RIP MBISE, kimetokea huko Arusha,Arumeru
 
umesema "MIAKA YA SITINI?", wewe ndo ulikuwa umbwe?
 
Usema miaka ya 60 kweli au ni yule mkuda ninayemfahamu mimi nimepita umbwe 04 -08 mkuda alinifundisha ngeli pia alinifurahisha sana kunisuspend nae kwenda kuchukua beg na kumwambia h/master MR MAKANGE huyu mkuda asipoondoka mimi naondoka.
R.I.P MWL WANGU.
 
Anazikwa lini mitaa hipi? Kwa tulio karibu tufike pale. Mimi nitamuenzi nami kwa kujiita mwl Mkuda nikihamia shule nyingine tu nabadili.
 
Wapendwa tunasikitika kumpoteza mwalimu wetu mpendwa aka mkuda Mr Mbise kwa wale wote waliopita Umbwe sec school miaka ya sitini mtamkumbuka alivyokuwa mcheshi kwa wanafunzi RIP MBISE kimetokea huko arusha,arumeru

Ni miaka ya tisini mkuu...anyway jamaa alikuwa mwana_mazingira mzuri sana(Mali Hai group)....ooh God_give us Mbise(mkuda)..we will give you Mallya and Protas...r.i.p mkuda
 
Usema miaka ya 60 kweli au ni yule mkuda ninayemfahamu mimi nimepita umbwe 04 -08 mkuda alinifundisha ngeli pia alinifurahisha sana kunisuspend nae kwenda kuchukua beg na kumwambia h/master MR MAKANGE huyu mkuda asipoondoka mimi naondoka.
R.I.P MWL WANGU.

ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_hizo ndio zilikuwa zake mkuu,...inaitwa meru staili.
 
Anazikwa lini mitaa hipi? Kwa tulio karibu tufike pale. Mimi nitamuenzi nami kwa kujiita mwl Mkuda nikihamia shule nyingine tu nabadili.[/QUOTE]

Utaweza mkuu...maake yeye alikuwa mkuda kweli kweli..lo.!
 
umesema "MIAKA YA SITINI?", wewe ndo ulikuwa umbwe?

Human error_ni miaka ya tisini mkuu,maake sijui hata hiyo miaka kama huyo mkuda(mbise)alikuwa anafundisha...i miss them dayz...'.mti safi'
 
Ni miaka ya tisini mkuu...anyway jamaa alikuwa mwana_mazingira mzuri sana(Mali Hai group)....ooh God_give us Mbise(mkuda)..we will give you Mallya and Protas...r.i.p mkuda

mkuu protus (protin) na Mallya (dudu) wakiona uzi huu watakutafuta hadi wakupe suspension.
 
Anazikwa lini mitaa hipi? Kwa tulio karibu tufike pale. Mimi nitamuenzi nami kwa kujiita mwl Mkuda nikihamia shule nyingine tu nabadili.[/QUOTE]

Utaweza mkuu...maake yeye alikuwa mkuda kweli kweli..lo.!

hiyo naweza kabisa ukuda nauweza sema yeye alitumia ukuda wa kimeru mimi nita2100 ukuda wa kimasai.
 
Ni miaka ya tisini mkuu...anyway jamaa alikuwa mwana_mazingira mzuri sana(Mali Hai group)....ooh God_give us Mbise(mkuda)..we will give you Mallya and Protas...r.i.p mkuda

mkuu protus (protin) na Mallya (dudu) wakiona uzi huu watakutafuta hadi wakupe suspension.
 
Wakuu kwa mliosoma Umbwe miaka ya 1986-1989 kuna mwanafunzi wa O- level kwa Jina Nicholas Alois Shirima. Huyu bwana alitoweka tokea mwaka 1994 na hadi sasa hajulikani alipo na hakuna ndugu yake yeyote mwenye taarifa zake. Pse Kama kuna yeyote mwenye some hints naomba tufahamishane. Kwa mara ya mwisho alikuwa akiishi Dar !
 
duh huyu ndiye mchagga pekee nimeoga katoweka inawezekana kuna falsafa alisoma akamwiga 2PAC.
 
mkuu umesahau kuwa kombo ndo lilikua sweken maarufu? maticha wote j'mos wapo huko, na madenyi wote pia nasi tulikua tunataka kwenda huko... mixa kila kitu kilikua kinapatikana huko..
 
RIP mwl mkuda,hata cc tuliomaliza 2008 alitufundisha kidogo.he was very unique aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom