Bodaboda za ccm airport mwanza

Bodaboda za ccm airport mwanza

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Muda huu kuna bodaboda zenye bendera za ccm zinamiminika airport mwanza,embu tujulishane kuna nini leo? Source macho yangu
 
Ni mikutano ya cham cha madalali inayoendelea sehemu mbalimbali nchini, hao bodaboda wamelipwa elfu ishirini kila moj kubeba bendera za kijani
 
macho yako.labda ni mashabiki wa yanga africa wazee wa jangwan
 
Back
Top Bottom