Makala ya mchokonozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala ya mchokonozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana va Mutwa, Aug 12, 2011.

 1. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  katika gazeti la dira ya mtanzania,jana,tarehe 11/08/2011 kuna makala inayoitwa mchokonozi,inayoandikwa na mwandishi anayeitwa Charles Mullinda,makala inaongelea juu ya mbinu mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kuchafuana baina ya watumishi wa umma na wanasiasa.
  kwamba kuna waandishi wa habari huwa wananunuliwa ili kuandika mambo mabaya ya mtu ili kumharibia katika jamii,nia ikiwa ni maslahi binafsi.
  mchokonozi kawaumbua kwa kuanika hadharani baadhi ya majina ya wahusika wa mchezo huo ambao anasema walijaribu kumnunua ilhali wakijua hanunuliki,na pesa yao kaila,na hataacha kuila,ila hawezi kuwatumikia na ataendelea kuwaumbua kwa kuwa ni wapumbavu.
  baadhi ya aliyoandika, namnukuu

  Mwandishi wa habari msaidizi wa Rais Premi Kibanga, aliponiita kirafiki ofisini kwake Ikulu ya Dar es Salaam na kunipa kazi ya kushiriki kufanya mapinduzi dhidi ya viongozi wa serikali, wabunge na watendaji wa bunge kupitia safu hii ya mchokonozi, alikosea.
  Ni kibanga aliyenitambulisha kwa kimbangambanga Julius Mgaya,maarufu kwa jina la kimambaye sasa anaandamwa na tuhuma mbaya za utapeli , kuwa ni 'boy friend' wake,na mfanyakazi wa idara ya usalama wa taifa......
  Ni kipindi hicho,nilipotambulishwa na kim kwa Justina Shauri, ambaye ni mtumishi mwandamizi wa ofisi ya bunge kuwa ni mwenzetu katika vita...  na anaendelea kusema wasimlaumu kwa kutofanya kazi yao kwakuwa kuna mtu aliyemdokeza kuwa anatumiwa na watu hao,mtu huyo aliyemdokeza hivo anamtaja kwa jina la thomas apson mwang'onda,aliyemwambia kim ni tapeli.

  kwakweli makala ni ndefu kama upo dar itafute na uisome kama bado hujaisoma,imewaanika hawa watendaji,lakini kama kawa hawatafanywa lolote, business as usual.
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Makubwa
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,000
  Trophy Points: 280
  Kumbe Kim Mgaya mambo yake sio siri tena? Analo mwaka huu
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hii habari sio.ya mwaka huu, ni ya august 2011. Hakuna hatua zozote za kuchukuliwa, unadhani alijituma? Maagizo yalitoka.JUU, na juu ndo pa kuchukua hatua.
   
 5. h

  hamsinij JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2013
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamaa anajifanya usalama, mwizi tu mjini
   
 6. Dr. Ndimu

  Dr. Ndimu JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2013
  Joined: Oct 30, 2012
  Messages: 725
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mngetusaidia kuweka makara nzima aisee
   
Loading...