Mgogoro wa mpaka kati ya malawi na Tz ndani ya ziwa Nyasa umefikia wapi ?
Kuna watu wameniambia kuwa Rais Rucia Banda wa malawi alikuja hapa Dar na hapo ndipo mgogoro ulipoishia. Samahani wakuu wangu sijui.

Mgogoro umekabidhiwa kwa marais wastaafu wa SADC. Marais hawa ni wale ambao hawana maslahi na upande wowote na mgogoro huu, yaani marais wastaafu wa Tanzania na Malawi hawatahusika katika jambo hili. Hapo ndipo mgogoro ulipoishia kwa sasa. Bado tunasubiri ripoti yao ili tujue watakachokuwa wameshauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.