Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za naibu waziri wa Nishati na madini kufika Mtwara na kuzuiwa siku ya Jumatatu tarehe 14/01/2013 zimekanushwa vikali mno na Makanjanja wanaonendekeza bahasha za khaki. Sakata lenyewe ni...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ulimboka kama Dk. Balali • SERIKALI YAKWEPA KUMHOJI KUHUSU SAKATA LAKE SAKATA la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, limeanza kuibua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika pita zangu Kinondoni nimeaona duka la Chadema ,nilivyoingia ndani ni Products chata ya M4C.Bidhaa hizo ni Form Six,Kaki full,mipira(foofball) na bidhaa nyingine nyingi.Nimeridhika na ubora...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za kutwa wanajamvi, Ndege ya ATC imelazimika kurudi Kigoma mchana huu baada ya kioo (windscreen) kupata ufa (crack) ikiwa hewani mara baada ya kuanza safari yake kurudi Dar es Salaam. Watu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imewataka waajiri wa sekta binafsi kuwasilisha vyeti vya kuzaliwa vya wafanyakazi wao ili kuhakikiwa na kubaini kama ni halali au la. Akizungumza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The energy regulator has revised fuel prices marginally downwards, citing falling international prices. On average, the price of kerosene decreased by Sh2.58...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba kupewa postal address ya idara ya habari Maelezo. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa iliyoripotiwa january 15 2013 imeeleza kwamba kwa sasa Nigeria imeteuliwa kuwa makao makuu ya dini inayomuabudu shetani. Nigeria, Ghana na South Africa ndio nchi zinazotajwa kuongoza kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujua, eti kama umetoa vitu Zanzibar-Dar, pale getini huwa utaratibu ni upi. Mfano: 1. Kwa vitu vya matumizi ya ndani kama RadioKubwa, FulDesktop PC, Fridge au BigTV. 2. Gari dogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanadai malipo yao ya pili ya korosho,jamaa wamekata Gogo kubwa na kufunga barabara ya Mtwara/Newala Waliuza Korosho mwaka jana wakalipwa malipo ya awali na ya pili bado. Mytake.Serikali lipeni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
A shipment of 18 human heads, still covered in skin, was held at Chicago O'Hare International Airport by U.S. Customs and Border Patrol. Customs officials halted the heads for investigation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza samwel sita kwenda kujenga ofisi ya spika urambo kwa gharama kubwa namna hiyo tena pesa zetu sisi walipa kodi ni sawa ? Sasa kama kila atakayeshika nafasi ya uspika anakwenda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa sababu kuna graduate wengi hawana ajira, Kwa sababu elimu inamsaidia mtu katika kuongeza uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi. Kwa sababu Polisi wamethibitisha kuwa na uwezo mdogo wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
muafaka haujapatikana na wazazi wamekubaliana kua wanachotaka ni ufafanuzi kutoka wizarani kuhusu kupanda kwa ada pasipo kushirikisha wazazi. ilitegemewa naibu waziri MULUGO angekuwepo alakini...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Maiti mbili wilayani Kasulu zimenyofolewa baadhi ya viungo vyao. Tukio baya na la kusikitisha ni bibi mmoja wa Heru juu, baada ya kufariki,ndugu zake waligundua hakuwa na midomo. Wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale wanaotumia star times watakubaliana nami hadi sasa ITV, Channel 5, Star TV na Tumaini TV zipo kwenye majaribio (TEST). Tafsiri yangu ni kuwa bado hakuna uhakika wa kuendelea kuona channel...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa)...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Unaenda pale kwa ajili ya kuweka pesa, unakutana na booonge la foleni, unapokaribia kuchukua ticket ya namba , mlinzi anatoa namba zilizotangulia (105) mwanzo na pengine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sitokuwa mzito wa hekima kumshukuru muumba kwa kutuwezesha kuwepo jamvini na kuweza kuvitafuta vidole kwenye la[top na kubonyeza tunapopaitaji nimekuwa nikifwatilia sana mchakato wa tff na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mataifa hawajui kukopesha. Uonevu wa POLISI kwa raia wasio na hatia unaadhibiwa hapohapo. Hakuna kusubiri sijui eti Polisi wenyewe kwa wenyewe wahukumiane..... A soccer fan runs onto the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…