Ufafanuzi kuhusu majeshi yetu

Ufafanuzi kuhusu majeshi yetu

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
1,076
Reaction score
211
Hivi karibuni na toka zamani nimesikia watu wakisema jeshi letu lina nguvu sana na lina wataalamu wazuri. Hivi wanaosema hivyo huwa wana reference za kutosha au wana viashiria vinavyoonesha uzuri wa jeshi letu au walimezeshwa maneno aliyosema Nyerere wakati wa vita vya Idd Amin? unapojibu angali yafuatayo kuhusu umakini
1. Mabomu kulipuka mbagala na kuua watu
2. Mabomu kulipuka Gongolamboto baadae kidogo baada ya mbagala na kua watu
3. polisi kutuliza ghasia ambazo wao wanakuwa hawapo kwenye tension kama ya kivita lakini wanaua raia na kupigana wenyewe risasi n.k

Sasa niambieni, huo uzito na umakini.
 
Huwezi ukalipima jeshi letu kwa maneno ingia mstuni utapata jibu lake kivitendo.
 
Jeshi la wananchi Tanzania ni zuri sana...tatizo ni mfumo wa usiri wa kuendeshea majeshi yetu...
 
Huwezi ukalipima jeshi letu kwa maneno ingia mstuni utapata jibu lake kivitendo.

Nyinyi mnaolisifu mmeliona wapi likifanya vizuri nipeni viashiria tu ili niungane na nyie kulisifu
 
Nafikiri si dhambi kujadili hili,

Uwezo wa Majeshi yetu kwa sasa unatia shaka hasa kama umefatilia mijadala ya hivi karibuni.Kumekuwa na tetesi za uwezekano wa kuwepo Ufisadi mzito ndani ya jeshi unaofanywa siri hasa matukio ya kuanguka ovyo kwa helcopta na mabomu kulipuka ovyo tena kwa kufuatana bila tahadhari.

Procurement za kijeshi ni siri lakini ndio uimara wa jeshi lenyewe kivifaa na matukio ya kuwa na mfano rada feki inaongeza shaka pia.Ubora wa jeshi siku hizi ni vifaa,ujuzi na morali (uzalendo).Ujuzi naamini upo hasa vita vya ardhini lakini vifaa na morali(malalamiko ya wananchi askari ni sehemu yao) vinatia shaka.

Tusubiri wajuvi wa mambo ya kijeshi watupe shule wengine hata mgambo hatukupita.
 
Nyinyi mnaolisifu mmeliona wapi likifanya vizuri nipeni viashiria tu ili niungane na nyie kulisifu

Sifa nyingi ni za enzi za mwalimu ambazo jeshi letu limepigana vita kibao na kushinda.Kwasasa zimebaki sifa za kulinda amani ambazo hata Burundi wanazo!!!
 
ukishajua itakusaidia nn?


Hivi karibuni na toka zamani nimesikia watu wakisema jeshi letu lina nguvu sana na lina wataalamu wazuri. Hivi wanaosema hivyo huwa wana reference za kutosha au wana viashiria vinavyoonesha uzuri wa jeshi letu au walimezeshwa maneno aliyosema Nyerere wakati wa vita vya Idd Amin? unapojibu angali yafuatayo kuhusu umakini
1. Mabomu kulipuka mbagala na kuua watu
2. Mabomu kulipuka Gongolamboto baadae kidogo baada ya mbagala na kua watu
3. polisi kutuliza ghasia ambazo wao wanakuwa hawapo kwenye tension kama ya kivita lakini wanaua raia na kupigana wenyewe risasi n.k

Sasa niambieni, huo uzito na umakini.
 
kinachoniumiza jeshini ni ufisadi tu.!
 
Jeshi la wananchi lipo vizuri sana, na ni moja kati ya majeshi yanayoogopwa Africa. Soma hapa THE Top 10 Countries With The Strongest Army In Africa!! - Politics - Nairaland.
Lakini tatizo lililopo linalopelekea hadi milipuko ya mabomu na kuua raia ni migogoro ya ndani kati ya jeshi na mamlaka za juu. Kuna shida kubwa sana ya kiutawala tangu JK aingie madarakani.

Hapo hiyo site uliyo i refer umeona review zake ? watu wanamuuliza mwandishi aeleze source na sio kulopoka, umeona wanigeria walivyomvaa? hayo yalikuwa ni mawazo ya mwandishi na alirejelea historia si unaona anazungumza vitu vya miaka zaidi ya ishirini iliyopita?
 
Moshe Dayan Njoo mkuu eneo lako la kujidai ndo hili
 
Mkuu Perry njoo uwaeleze kinaga ubaga hawa watu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi karibuni na toka
zamani nimesikia watu wakisema jeshi letu lina nguvu sana na lina
wataalamu wazuri. Hivi wanaosema hivyo huwa wana reference za kutosha au
wana viashiria vinavyoonesha uzuri wa jeshi letu au walimezeshwa maneno
aliyosema Nyerere wakati wa vita vya Idd Amin? unapojibu angali
yafuatayo kuhusu umakini
1. Mabomu kulipuka mbagala na kuua watu
2. Mabomu kulipuka Gongolamboto baadae kidogo baada ya mbagala na kua
watu
3. polisi kutuliza ghasia ambazo wao wanakuwa hawapo kwenye tension kama
ya kivita lakini wanaua raia na kupigana wenyewe risasi n.k

Sasa niambieni, huo uzito na umakini.

Mkuu usiumize kichwa. tulikuwa na jeshi zamani sio sasa hivi. hatua tuliyofikia ni kama ile ya jeshi la mobutu.:
 
kinachoniumiza jeshini ni ufisadi tu.!

Ukishaona imefika hatua, viongozi wa jeshi wamekuwa wapigaji, muda wote wanawaza wataibaje au wataiba wapi, ujue hakuna jeshi kabisa...
Wamebakia na mazoezi ya kutembea kwa miguu tu. hata pale NDC kunduchi kunaendwa kwa magumashi, muda wote wanajeshi utawakuta wako pale nyuma ya NDC wanashindana kunywa heineken za bure...
 
amiri jeshi ni dhaifu na jeshi ni dhaifu
kwakuwa chadema wamesema wakishindwa uchaguzi 2015 wataenda msituni; na dalili zinaonesha wazi kuwa watashindwa; basi nadhani utakuwa ni wakati mzuri sasa wa kujua uwezo wa majeshi yetu.
 
Nawashangaa waliokuwa wanashabikia vita ya malawi tungebondwa harafu viongozi wetu warafi wangeiba harafu wangehamia Marekani kama Balali. sisi tungeendelea kuumia kulipa deni la vita kaama la idi amini linavyoendelea kututesa hadi leo hii. Hatuna jeshi bora hata kipindi cha waitara
 
Back
Top Bottom