Kuna ajenda ya siri ya Chama Cha Mapinduzi dhidi ya wanakusini

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,054
Reaction score
137
Kusini iliwekwa kuwa ni jela kwa watumishi wa umma au serikali wanalioharibu mikoa mingine.Huwa wanawapeleka kuwapa adhabu Mtwara na kungenezo.Kwa hiyo wana Mtwara hiyo ni sera ya siri ya ccm.Imefishwa tu.Kwa hiyo tusimame imara sasa tupo na nyinyi hakitoki kitu hapo.
 
Mtwara Imebalikiwa kuwa na kina kirefu cha bandari.Kwa hiyo uchumi utakuwa mzuri sana kwani meli nyingi zitakuja ku load gesi pale kama unavyoona kwenye video hapo.Na mtwara itakuwa na mitambo mikubwa kusini mwa shara wa kufua umeme.Wana mtwara kataeni kabisa kwani kusafirisha gesi kwa umbali huo utaipoteza gesi hiyo ya asili hewani na kusababisha GLOBAL WARMING AND CLIMATE CHANGE kwa upande mwingine.[video]LNG carrier [Liquefied Natural Gas Tanker][/video]
 
Kinacho niumiza ni kitu kimoja je ni kweli kwenye maelezo (madai) ya wanamtwara hakuna hoja ya msingi kweli? Mbona rais anatoka na msimamo mzito wa et kuigawa nchi lakini ni kweli hii? Nchi hii mtu akiongea ukweli na kudai haki yake ni kweli aonekane mkorofi? Shida ya viongozi wetu wakizidiwa hoja wanakimbilia kwenye matamko na matisho. Kama kweli hamna hila ndani ya mpango huu serikali inakosaje hoja za kuongea na wana Mtwara badala yake inakimbilia kwenye vitisho. Si ninyi viongozi ambao huwa mnasema vijana warudi vijijini sasa mbona ndio mnapalilia wao kukimbilia mjini? Na hasa dar ili muwaite Machinga? Shida ninayoiona viongozi wenyew mumefunga mitambo ya CCTV watu wakisoma na kuangalia hizo picha mnaanza kutoa matisho wakati camera mmezifunga wenyewe. Acheni hizo nchi hii ni yetu sote wapeni watu wa kusini haki yao jengeni viwanda hukohuko ili kuzuia msongamano wa watu mijini.
 
Mama cholo amekaa kimya nduguze wanaporwa mali asili na utajiri wao walojaaliwa na mungu we mama cholo ongea na baba mwanaasha asidhulumu wana kusini jamani
 
Ni kweli! Pamoja na kuwaleta watumishi wa serikali mikoa ya kusini kama adhabu, tumeshuhudia miaka ya hivi karibuni kuletwa kwa wafugaji wa ng'ombe kutoka bonde la Ihefu huko Mbeya. Wafugaji hao wamevamia wilaya za Kilwa kama sijakosea na kusababisha mitafaruku na wakulima. Kama hiyo haitoshi, serikali ilikuwa/ina mipango ya kuwahamishia wakimbizi wa Burundi waliopatiwa uraia wa TZ kutoka makambi ya Mishamo (Katavi),kuja mikoa ya Kusini na ardhi ya huko kupewa wawekezaji Agrisol!
 
Ni kweli! Pamoja na kuwaleta watumishi wa serikali mikoa ya kusini kama adhabu, tumeshuhudia miaka ya hivi karibuni kuletwa kwa wafugaji wa ng'ombe kutoka bonde la Ihefu huko Mbeya. Wafugaji hao wamevamia wilaya za Kilwa kama sijakosea na kusababisha mitafaruku na wakulima. Kama hiyo haitoshi, serikali ilikuwa/ina mipango ya kuwahamishia wakimbizi wa Burundi waliopatiwa uraia wa TZ kutoka makambi ya Mishamo (Katavi),kuja mikoa ya Kusini na ardhi ya huko kupewa wawekezaji Agrisol!
 
Kinacho niumiza ni kitu kimoja je ni kweli kwenye maelezo (madai) ya wanamtwara hakuna hoja ya msingi kweli? Mbona rais anatoka na msimamo mzito wa et kuigawa nchi lakini ni kweli hii? Nchi hii mtu akiongea ukweli na kudai haki yake ni kweli aonekane mkorofi? Shida ya viongozi wetu wakizidiwa hoja wanakimbilia kwenye matamko na matisho. Kama kweli hamna hila ndani ya mpango huu serikali inakosaje hoja za kuongea na wana Mtwara badala yake inakimbilia kwenye vitisho. Si ninyi viongozi ambao huwa mnasema vijana warudi vijijini sasa mbona ndio mnapalilia wao kukimbilia mjini? Na hasa dar ili muwaite Machinga? Shida ninayoiona viongozi wenyew mumefunga mitambo ya CCTV watu wakisoma na kuangalia hizo picha mnaanza kutoa matisho wakati camera mmezifunga wenyewe. Acheni hizo nchi hii ni yetu sote wapeni watu wa kusini haki yao jengeni viwanda hukohuko ili kuzuia msongamano wa watu mijini.

anajua sana anajitia hamnazo tu huyu mweshimiwa za zaidi wanajitahidi kupotosha madai halali ya watu wa mtwara, na hata ilani yao imeeleza wazi kabisa kujenga power plant mnazi bay itakayozalisha mw 300 leo wanajifanya hawakumbuki, kuigawa nchi? watu wa mtwara wanasema umeme uatakao zalishwa upelekwe kokote nchini na hata ikibiti nje ya nchi sasa hapo unaigawa namna gani nchi? wao ndo wanaigawa nchi kwa kupeleka maendeleo mahali tu ya nchi na maeneo mengine juachwa nyuma kama ilivyo kwa mtwara na lindi. wawasikilize wananchi madai yao ni ya msingi kabisa.
 
kusin ni jera unaumwa au unatumia masahur kufikil
 
Kusini iliwekwa kuwa ni jela kwa watumishi wa umma au serikali wanalioharibu mikoa mingine.Huwa wanawapeleka kuwapa adhabu Mtwara na kungenezo.Kwa hiyo wana Mtwara hiyo ni sera ya siri ya ccm.Imefishwa tu.Kwa hiyo tusimame imara sasa tupo na nyinyi hakitoki kitu hapo.

Hamna kitu, wanamtwara watulie manufaa watayaona, ioviwanda vitajengwa hapo majority watapata ajira. Mitambo ya gas ikijengwa Mtwara hakuna atakayepata ajira hapo kwani itahitaji experts kutoka nje na baadhi ya Watanzania wenye good scientific education. sera ya gas bado inaandaliwa watoe demands zao zitazingatiwa, si kuandamana na kupoteza muda wa kuzalisha mali.

NB: Wanamtwara hawana jeuri ya kuzuwia gas hiyo kusafirishwa kwenda dar, gas itakwenda Dar no Matter what. Mchakato wa ujenzi wa bomba unaendelea kama kawaida wasipiteze muda.
 
Dhahabu na almasi zetu plus mlima kilimanjaro na mbuga za wanyama zetu ziwajengee daraja refu kuliko madaraja yote tz then muanze kujigawa baada ya kupata gesi. Ni mali ya tanzania na watanzania wote acheni kuwaza kitoto nyie.
 
Daraja limegengwa kwa ushirikiano wa Tanzania na msumbiji.wewe mbona unaongea matope?.Alafu ujue kuwa pesa ni mkopo .acha wana mtwara waingizie taifa pesa za kigeni kwa kuload GESI Kwenye meli hapo mtwara .Wewe Gamba nini?.Unajua gharama za huo mradi wa kufikisha gesi Dar.Unajua gesi hua inavuja pia [all way Mtwara to Dar].Sasa kaa tayari kuwa na pesa za operation hiyo.ACHA MTWARA IENDELE KWA KULOAD GESI HAPO HAPO.NAKUAMBIA HATA AJE NANI MTAONA KAMA KWELI SISI TUNA UTANI SASA HIVI .MMENYOFOA RELI TUMEKAA KIMYA,MNATUDHULUMU PESA ZETU KWA AJILI YA KOROSHO TUMEKAA KIMYA,JUZI JUZI ,MKATAKA KUJA KUTOA GENERATOR YA UMEME .KUKATOKEA UGOMVI .NASHUKURU MREMA ALIKUWA TATUA HILO TATIZO .NA GENERATOR LIPO PALE.HACHA GESI ITUMIKE HAPO NA IJENGWE MTAMBO MKUBWA KUSINI MWA AFRICA WA UMEME ,NA TUTAUZA NJE KWANI KINA CHA MAJI HAPA MTWARA MUNGU KATUBARIKI.HAKUNA MJADALA.KAMA MKITAKA GESI ITOKE HAPA.BASI VIVUTIO VYOTE NA MAJENGO YOTE HUKO BAGAMOYO YAHAMISHIWE HAPA MTWARA .SI MNATAKA USAWA.KAMA ITASHINDIKANA BASI POLENI.HAKITOKI KITU HAPA.WABAKAJI WA RESOURCES TUMESHAWAJUA.MTWARA ITAVUMA ,KUNA WAISANI WENGI HUKU NJE TUMEJIPANGA VIZURI,KAMA MLICHUKUA 10%.POLENI SANA.SAFARI HII MTAKE MSITAKE MTACHEZA SINDIMBA.HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Ni kwel kutengwa kwa mikoa ya kusin hususan Mtwara hii ni sera iliyoanzishwa na NYERERE alifanikiwa kwa kuwa watanzani
a weng walikuwa wamelala,viongoz wa sasa wanadhan bado watu wapo usingzin wanijidanganya!
Mzozo huu wa gesi ni hatua pekee kwa wanamtwara msirud nyuma kazen buti,
tupo pamoja!
 
Mwenye akili timamu atajua kiicho andikwa,kama ni mtu yupo kwenye mtandao huu kwa ajili ya kutafuta ugali wake pole sana.Nawaona wengi hapa ukiangalia tu mawazo yao.Wana mtwara wameteseka sana.CHANZO CHA WAUZA VITU MITAANI KUITWA WAMACHINGA SIO MAANA WOTE NI WAMACHINGA HAPANA.LAKINI KUNA UKWELI NDANI YAKE.VIJANA WENGI WAMEONDOKA HUKO NA KUJA KUTAFUTA AJIRA HUKU.ALAFU WEWE NA RAIS WAKO HAMUONI HILOOOOOOOOOOOOOO.??????.KWA KWELI HATUNA VIONGOZI SMART KABISAAAAAAAAAAA.NANI ALIBISHA KUWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA KUJENGWA BAGAMOYO.????.WANAMTWARA WALIKAA KIMYA.SASA LEO WANATETEA UTAJIRI NDANI YA ARDHI YAO,HAMTAKI.HATUJASEMA KUWA WATU WENGINE WASIJE KUFANYA KAZI MTWARA,HAPANA,NI KWAMBA TUNATAKA SHUGHULI ZA MAENDELEO SASA ZIFANYIKE MTWARA.PAMBA INALIMWA TABORA ,MAJENGO YA OFISI,NA NYUMBA ZA WAFANYAKAZI DAR.NA KUNA MENGI SANA.ALAFU MNASEMA KIMAPATO DAR INAONGOZA TANZANIA.GESI HAITATOKA MTWARA NA HII ITAKUWA FUNDISHO,NA PIA MUZIKI MWINGINE UPO JIKONI KUHUSU URANIUM NAMTUMBO [RUVUMA].WANAKUSINI WAMENYANYASHWA SANA.ENOUGH IS ENOUGH.
 
Wana ARUSHA nanyi igeni mfano huu au ndiyo mmechelewa, nanyi mgome TANZANITE isisafirishwe ghafi vijengwe viwanda hapo hapo ili mfaidike na utajiri huo.
 
Kinacho niumiza ni kitu kimoja je ni kweli kwenye maelezo (madai) ya wanamtwara hakuna hoja ya msingi kweli? Mbona rais anatoka na msimamo mzito wa et kuigawa nchi lakini ni kweli hii? Nchi hii mtu akiongea ukweli na kudai haki yake ni kweli aonekane mkorofi? Shida ya viongozi wetu wakizidiwa hoja wanakimbilia kwenye matamko na matisho. Kama kweli hamna hila ndani ya mpango huu serikali inakosaje hoja za kuongea na wana Mtwara badala yake inakimbilia kwenye vitisho. Si ninyi viongozi ambao huwa mnasema vijana warudi vijijini sasa mbona ndio mnapalilia wao kukimbilia mjini? Na hasa dar ili muwaite Machinga? Shida ninayoiona viongozi wenyew mumefunga mitambo ya CCTV watu wakisoma na kuangalia hizo picha mnaanza kutoa matisho wakati camera mmezifunga wenyewe. Acheni hizo nchi hii ni yetu sote wapeni watu wa kusini haki yao jengeni viwanda hukohuko ili kuzuia msongamano wa watu mijini.
hatuna vingozi hapa kuna watu ambao wana vichwa vya tikiti maji na wanajiita viongozi, kumbe ni ten% na wizi wa mali za uma ndio zinawafanya watumie mabavu kujiita viongozi
 
Back
Top Bottom