Simbachawene karibu JF usijifiche

Simbachawene karibu JF usijifiche

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
Akizungumzia madai hayo Simbachawene alisema: “Hapana si kweli, ningekuja hapo mjini nisingejificha… Tatizo la wananchi wetu hawajapata elimu sasa nitaendaje huko kimyakimya ili iweje? Jana nilikuwa ofisini na vikao kutwa nzima… Nenda ‘airport’ (uwanja wa ndege) kaulize… Hata mimi nimeona kwenye jamii forum mtu yeyote anaweza kuweka chochote.”
Source: mwananchi
 
simba piga kazi achana na majuha ili ushindwe majukumu awaze kujibu majibu ya wahuni wanaotaka kukuchafua piga kaz.pamoja sana
 
simba piga kazi achana na majuha ili ushindwe majukumu awaze kujibu majibu ya wahuni wanaotaka kukuchafua piga kaz.pamoja sana

Naona kila ikitokea post inayomhusu simbachawene unaacha kila kitu kuja kumtetea, km ni secretary wake basi uko juu, mwambie akuongezee allowance kidogo sio unamtetea halafu unaishia kupiga miayo tu.
 
mawe au mahera ninayo hoja ambazo hazina mashiko tutazijadil namna hii
 
mawe au mahera ninayo hoja ambazo hazina mashiko tutazijadil namna hii

Acha hizo wewe ungekuwa na hela ungeenda kuiba simu?KIBAKA wa kawaida wewe katafute kazi ya kufanya
 
Acha hizo wewe ungekuwa na hela ungeenda kuiba simu?KIBAKA wa kawaida wewe katafute kazi ya kufanya

cdm mnamatatizo ya akili mmeamua kunipa hako kakesi ka mchage mm sihusiki huko,jibuni hoja .mnaiba cm wengine mikopo
 
cdm mnamatatizo ya akili mmeamua kunipa hako kakesi ka mchage mm sihusiki huko,jibuni hoja .mnaiba cm wengine mikopo

Katafute shamba huko kijijini ulime achana na siasa huiwezi....watakuchoma moto hapa dar es salaam mjini
 
Akizungumzia madai hayo Simbachawene alisema: "Hapana si kweli, ningekuja hapo mjini nisingejificha… Tatizo la wananchi wetu hawajapata elimu sasa nitaendaje huko kimyakimya ili iweje? Jana nilikuwa ofisini na vikao kutwa nzima… Nenda ‘airport' (uwanja wa ndege) kaulize… Hata mimi nimeona kwenye jamii forum mtu yeyote anaweza kuweka chochote."
Source: mwananchi


Inshallah baadae nitakua nae kwenye Hot Mix!!
 
Ndio mana kwenye post yeyote guests huwa wengi kuliko members...kumbe ni akina chawene.......

wanaogopa misumari ..si unajua akijiunga hapa JF atapigwa sana pini ..hatuwaangaliagi usoni
 
mheshimiwa karibu sana ndani,laiti km ungekuwepo ungesaidia kujibu hiyo hoja yako.
 
Naona hii habari ya kukwapua simu inakufuata kila mahali!!!!
 
Back
Top Bottom