Marais shujaa wa afrika

Marais shujaa wa afrika

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,967
Habari zenu wanajamvi.Tutaje marais shujaa waliofanikisha UKOMBOZI wa Bara la Afrika.
1. HAILE SELLASIE wa Ethiopia
2. KWAME NKRUMAH-Ghana
3.ABUBAKAR TAFAWA BALEWA-Nigeria
4. AHMED SEKOU TOURE-Guinea
5.SAMORA MOSES MACHEL- Msumbiji
6. J.K NYERERE-Tanganyika
7. AHMED BEN BELLA-
endeleza
8......
 
jakaya mrisho kikwete .mtu wa watu rais mtulivu asiyekuwa na makuu kama slaa
 
8. Kenneth kaunda ..... Zambia
9. Milton obote .......... Uganda
10. Jomo kenyatta ....... Kenya
11. Dr banda ......... Nyasaland
13. Ian smith ............ Afrika kusini
14. Nguesso ...........
15. Seseko mobutu .......
16. Robert mugabe ......
17. Karume .............
18. Savimbi ............
19. Gadaffi .........
20. .......... Egypt
 
Sijui kama wengine wanajua maana ya shujaa au utani? Kikwete, Banda, Kenyatta nao ni watu wa kutaja mbele za watu jamani?
 
Gamal Abdel Nasser - Misri, Kenneth Kaunda - Zambia, Nelson R .Mandela - South Africa. Ian Smith sio shujaa wa Afrika.
 
Nawe mtaje mama yako kama umeona kutukana ni dili. Shame on you!

kumbe ww ulidhan ndio unajua maana ya shujaa .mwenye uzi ametaka utaje rais shujaa so mm nimeona hivyo kwann unataka tufanane fikra.
 
kumbe ww ulidhan ndio unajua maana ya shujaa .mwenye uzi ametaka utaje rais shujaa so mm nimeona hivyo kwann unataka tufanane fikra.[/QUOTE

Matusi ya nini? na kwa nini Mgombanie fito ili khali mnajenga nyumba moja TZ
 
Watu huwa wanachanganyaga sana hapa kuna mwigine nae uliwahi kumuuliza kama huyo ni Raisi na akaendelea kusisitiza kabisa kama vile anauhakika!

Ni kweli Haile Selasie hakuwa rais ni Mfalme baba wa Taifa la Ethiopia na Afrika huru hajatokea kama yeye
 
Back
Top Bottom