Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Mkulia

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
375
Reaction score
95
Salamu kwa wasomaji na members' wote wa JF. Ninaomba msaada kwenu: Kuna binti wa dada yangu yupo nje ya nchi (Uarabuni) anataka kutuma fedha kwa mama yake ambaye yupo hapa Tz kwa njia ya benki,amejaribu kutuma kupitia NMB na NBC bank lakini imeshindikana. Sasa je,atumie njia gani ili aweze kutuma pesa hiyo hadi huku nyumbani? Tadhali naomba msaada na siyo vinginevyo.
 
tumia western union(kama ipo uarabuni) mkuu ila inachukua muda kidogo kama waiki moja hivi na ushee...
ila ni very safe
 
Mwambie atumie money gram huyo ndugu yake atakuchukua Twiga bancorp
 
Mbona rahisi sana mimi naishi dubai natuma pesa kwenye account yangu ya nmb na nbc bila tatizo ndani ya siku 3 inakuwa imeshaingia gharama ni ndogo sana..pia anawezakutumia western union wana ofisi kila kona...kama akikwambia ni ngumu maana yake hataki kutuma..mambo ni rahisi sana 00971504374387 anawezanipia kwa namba hiyo
 
Western union haichukui wiki moja ni chini ya dakika 5 anachukua pesa dar
 
Ata masasi kuna ofisi ya western union pia kuna nbc au nmb..mimi natuma mpaka karangwe..ndani ya dk 5 unachukua pesa
 
Back
Top Bottom