Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Wana JF,
Ni ukweli usiopingika kuwa wamachinga wengi wanatoka mtwara.
Na kwa sasa si wamachinga tu, bali waokota makopo, mafundi majiko na kuziba sufuria, ndoo, wapiga debe n.k ni watu wa kutoka mtwara, na ndio jina chinga lilipotokea.
Sasa imegunduliwa gesi, kwanini isizalishiwe hukohuko mtwara ili;
1. Viwanda vijengwe Mtwara na hivyo kuinua uchumi wa mtwara na taifa kwa ujumla,
2. Kuongeza direct and indirect employment,
3. Kuongeza shughuli za kiuchumi nchini badala ya shughuli hizo kuishia Dar es Salaam.
Hivyo, kuhusu suala la gesi nawaunga mkono 100% watu wa kusini, hasa Mtwara.
Mithali 11:14