abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Jamani wadau hivi hii TLS ni kitu halisi ama kiini macho naomba mnisaidie jamani maana hapa naona mh raisi na mwanae wanahusika moja kwa moja kutokana na maelezo yao
Swali ni kwamba je vijana wa kulisimamia jambo hilo wamekwisha mpaka apewe Bw Riz...je ni miradi mingapi inasimamiwa na yeye..na ana ajira ngapi?
Swali ni kwamba je vijana wa kulisimamia jambo hilo wamekwisha mpaka apewe Bw Riz...je ni miradi mingapi inasimamiwa na yeye..na ana ajira ngapi?