Msomaji huyu wa magazeti RFA Sauda Mwilima hawezi....

mfwimi

Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
59
Reaction score
8
Nimesikiliza leo Watanzania tuzungumze magazeti ya RFA hadi kichefu chefu.Sijui hata aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma magazeti?, RFA kwa muda mrefu tumekuwa tukiwapenda ila naona sasa mmejisahau siku zote hata mtoto lazima afundishwe kusoma kama lazima Sauda asome, basi mpeni muda mfundishe si kupanga tu ili mradi, mmeniboa leo.
 
Nimesikiliza leo watnznia tuzungumze magazeti ya rfa hadi kichefu chefu.....sijui ht aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma maggazeti,rfa kw amud mrefu tumekuw tukiwapend naona sasa mmejisahau siku zote hataa mtoto lazima afundihwe kusoa kama lazima sauda asome, absi mpen mud mmfundishe...si kupang tu ili mradi mmenibo leo

oyaa mbona umeandika madudu haueleweki yani
 
Nimesikiliza leo watnznia tuzungumze magazeti ya rfa hadi kichefu chefu.....sijui ht aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma maggazeti,rfa kw amud mrefu tumekuw tukiwapend naona sasa mmejisahau siku zote hataa mtoto lazima afundihwe kusoa kama lazima sauda asome, absi mpen mud mmfundishe...si kupang tu ili mradi mmenibo leo

huyo walie mpa leo asome wamechemka sana
sijui Tom Chilala anatafuta mtoto akachelewa kuamka
 
Umeelewaje kaa namponda ka hujaweza kusoma nilichoandika?kumbuka ni masuala ya makosa ya kawaida ya uchapaji,hasa kwa mtu ambaye pi anafanya jambo jingine,but stick on the content,kwani angalia mzizi wa hoja,kwa waungwana kuomba radhi ni mhimu naomba radhi kwa makosa ya uchapaji ama kwa sababu ya kukerwa zaidi, LAKINI HOJ Y MSINGI INBAKIA PLE PALE KACHEMSHA KUSOMA HY SAWA NAMI NIMEKOSEA KUCHP ILA UMENIELEWA, GOOD WE MWANAFUNZI MZURI KUTAFUTA MSINGI WA HOJA KATI KATI YA MAKOSA,kumbuka yeye pia yeye aliamk puku kujiandaa,tusalie kwenye msingi wa hoj kuelimishn ni huku daw y jibu makamuzi si kuknda hahha,nawasilisha
 
Nimesikiliza leo watnznia tuzungumze magazeti ya rfa hadi kichefu chefu.....sijui ht aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma maggazeti,rfa kw amud mrefu tumekuw tukiwapend naona sasa mmejisahau siku zote hataa mtoto lazima afundihwe kusoa kama lazima sauda asome, absi mpen mud mmfundishe...si kupang tu ili mradi mmenibo leo
Aliyesoma hayo magazeti na wewe uliyeandika hamna tofauti.
 
Na wewe rekebisha jina lako siyo umkondo we sizwe ni umkontho we sizwe...spear of the nation

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kweli mkuu hata mimi leo ame niboa sana kwa upande wa kusoma magazeti amekuwa kama mgeni na radio kwa upande utangazaji.
 
Umeelewaje kaa namponda ka hujaweza kusoma nilichoandika?kumbuka ni masuala ya makosa ya kawaida ya uchapaji,hasa kwa mtu ambaye pi anafanya jambo jingine,but stick on the content,kwani angalia mzizi wa hoja,kwa waungwana kuomba radhi ni mhimu naomba radhi kwa makosa ya uchapaji ama kwa sababu ya kukerwa zaidi, LAKINI HOJ Y MSINGI INBAKIA PLE PALE KACHEMSHA KUSOMA HY SAWA NAMI NIMEKOSEA KUCHP ILA UMENIELEWA, GOOD WE MWANAFUNZI MZURI KUTAFUTA MSINGI WA HOJA KATI KATI YA MAKOSA,kumbuka yeye pia yeye aliamk puku kujiandaa,tusalie kwenye msingi wa hoj kuelimishn ni huku daw y jibu makamuzi si kuknda hahha,nawasilisha
Nilidhani wanakuonea kumbe ni kweli hujui kuandika, unapata wapi gutts za kumkosoa anayesoma wakati wewe hujui kuandika?

All CAPS ni uandishi uliyofundishwa na Mwalimu gani?
 
Lakini sio yeye tu kwani hata baadhi ya watangazaji wa redio1 wakisoma taarifa ya habari ni balaa, wana haraka hivyo wanachapia maneno mengi na kuifanya taarifa yenyewe kutoeleweka, ina boa sana.
 
kameanza kuwa ka radio ka hovyo sana siku hizi.msomaji kama darasa la saba B, MITAMBO yao inakatika hovyo yaani RFA ni aibu.
 
Toa Bolt kwenye jicho lako then ndio utoe kibanzi kwa sauda mwilima, sauda ni bonge la mtangazaji acha wivu wa kike wewe.
 
Hhahahha ndo maana mie binfsi naipenda kupita humu ndani kila siku,ona sasa nimefundishwa jambo mhimu umakini katika uchapaji,asante nitajihidi kuwa makini,unajua ugeni n tech nisamehe bila gharama....
 
kiUkweli...huwa sijui kwa nini Sauda Mwilima anatangaza mpaka leo, si TV si Redio...amekuwa huko kwa muda mrefu but hajui kutangaza..hana skills (si natural (kipaji) au acquired (kusomea)), interview zake za kijinga anuliza maswali ya kijinga kijinga, sasa ukimpa kipindi cha kuchambua magazeti unatarajia nini!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom