Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewashauri Wawakilishi, Wabunge na Madiwani wake kusimamia mchakato wa kuanzisha Saccos zitakazoyaunganisha makundi ya Wanawake na Vijana ili kuzalisha ajira...
kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha huku zanzibar, idadi isiyojulikana ya watoto wamezama kwenye maji! Maeneo ya kijitoupele, mpaka sasa amepatikana mmoja tu akiwa hai' wazamiaji...
Kwa muda wa miezi minne sasa Taperi anayejiita Kezroni Mudashi (ambalo pia ni jina alilotumia kusajili simu Vodacom), amekuwa tishio katika kutaperi watumishi wa umma katika mikoa ya Dar es...
Sisi waripakodi wa mkoa wa mwanza tunatoa malalamiko yetu ya muda mrefu kwamba kituo cha traffic nyamagana Mwanzatunapata tabu sana hasa pale unapotaka ukaguzi wa magari.Kazi inakuwa kubwa sana...
Wakuu,
Naomba mnisaidie mawasiliano ya haraka ya muheshimiwa waziri nchimbi kama simu, email, skype n.k amenifurahisha sana na kushughulikia uozo wa jeshi la polizi nataka nimpe support ya uozo wa...
Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:
1. Battery inajaa baada ya dk.3
2. Simu ina redio,tv,microwave oven,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara n.k.
3. Waweza kuchapa meseji zako kwa...
Miaka kadhaa iliyopita, serikali ya Tanzania ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic ambayo ina kipimo cha microns 30 - 60 (0.03-0.06 milimita). Sababu kubwa ilikua ni uhifadhi wa...
BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI TZ VINALINUFAISHA NINI TAIFA NA WATANZANIA?
Ni swali ambalo kwa mtu ambaye analitizama kwa juujuu anaweza kuniona sina nachomanisha ila kwa wle wenye jicho lingine...
Wanajamvi huku sasa nchi yetu inakoelekea sijui ni wapi.
Imekuwa ni kawaida kwa serikali hii kuibuka na vijimambo kila kukicha ili kuwaondoa wananchi kwenye hoja mahsusi ya wakati huo na kwa kweli...
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha...
Corporate Relationship with you and your Company.
i. ICB CURRENT ACCOUNT
This account has been specially packaged for you as our selected corporate customer and in...
Kutokana kuvamiwa waendesha pikipiki[boda] na watu wasiofahamika na kuporwa pikipiki sasa utaratibu waliopewa mwisho kuendesha pikipiki ni saa tano ukijidai wewe kichwa maji wazee wa usalama...
Kipindi mauaji ya Liberatus Baro aliekuwa kamanda wa police Mwanza yametokea, haikuchukua hata wiki wahalifu wakakamatwa, hili la Kibanda ni vipi hata harakati za kutafutwa hazionekani wazi wazi...
Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua...
hii ni changamoto kubwa sana niliyokutana nayo,imenisikitisha sana mkenya anakuja bongo af anaanzisha instution ya kutoa elimu ya ujasiriamali hana mtaji wala nini anapewa kachumba kamoja af zile...
Jana jamaa zangu wa Cchadema UK walimchagua rafiki yangu mkubwa kuwa mwenyekiti wa bavicha UK.
Nilifurahi sana kuona rafiki yangu anakomaa kisiasa lakini kuna kitu nilichomuuliza akashindwa...
Mmmh namwangalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, siku ya wanawake duniani kwa kweli ni huzuni.
Hatari kuona siku kama hii ya kuangalia nini cha kumwokoa mwanamke mzee wetu ameishia kulalama. Eti...
Man in Debt Takes Own Life
By Jimmy Lwangil
A MAN identified as Salehe Magongo (53) committed suicide in his room in Dar es Salaam allegedly in fear of a court action. He had not been...
Hivi ni kwanini Paka sio wengi kama Ng'ombe au Mbuzi wakati hawaliwi wala kuuawa na wanazaliana tu kila kukicha tena uzao wao ni wa mkupuo? Tazama jinsi ng'ombe wanavyochinjwa kila kukicha na...
VATICAN CITY (AP)
The Vatican insists that the cardinals participating in the upcoming conclave will vote their conscience, each influenced only by silent prayers and reflection. Everybody...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.