Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni tangu asubuhi kila nikitaka kuongeza salio simu haitaki. nataka kupiga simu za muhimu lakini huduma yao ya kuchukua hela yangu haikubali kabisaa. Nauliza wana JF hivi na nyie mnapata tatizo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiangalia jinsi jeshi la polisi linavyoendeshwa hapa Tanzania utagundua kuwa limegeuka chama cha siasa kimya kimya...bado tu usajili...Ukimchukua Said Mwema utagundua kuwa ni sawa na kikwete...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
huyu ni yule binti aliyeimba nyimbo inaitwa mr politician na baada ya hapo akahamia cdm.muda haukupita sijui alipewa nini na nani kidogo tukasikia akihamia ccm wakati huko cdm walishamwandalia...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wafuasi wa Chadema, wameibua tafrani ya aina yake wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), marehemu Benson Mollel baada ya kung'oa bendera za chama...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
BREAKING NEWS: Mabehewa Matatu ya TRENI ya TAZARA yameacha reli eneo la Udagaji, Kata ya Chita Wilaya ya Kilombero. Taarifa zaidi nitawajuza.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wanajf, Jana wkt tukija Moshi toka Dar, tulisimamishwa na polisi Mkata kubwa likiwa mwendokasi,tulioneshwa kuwa tulikuwa 65km/h lakini tukawaambia hiyo speed ilikuwa kabla ya kibao cha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana JF mimi kwa kweli nimechoshwa kuitwa mtanzania, kwa sababu Tanzania niliyoizoea na kuijua sio Tanzania hii ya sasa ya kuua albino, kuu wazee wetu eti ni wachawi, wezi wa mali za umma kuachiwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wadau tujadiliane katika hii. Nadhani kunatakuwa jitihada za makusudi kwa TCRA kuweza kutusaidia katika vita hii tuliyonayo ya matumizi ya simu kwa wanafunzi wa shule za sekondari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashangazwa January Makamba yuko live Clouds FM kwenye power Breakfast watangazaji wametoa namba za simu kupiga na kuuliza maswali live lakini eti wanarecod wakikubaliana nalo ndio wanalirusha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati mvua kubwa ikiwa imeanza kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini kuna matukio yaa kutokea maafa maeneo tofauti yakiwemo kuharibika miundombinu na vifo.Tukio lililotokea eneo ambalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania(CCMT), Ernesti Kimaya akijibu swali la waandishi wa habari wakati alipozungumzia uchaguzi mkuu ujao wa chama hicho jijini Dar es Salaam. Kulia ni mweka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar. Wadau wa habari wameunda kamati ya watu 16 itakayokutana na wakuu wa vyombo vya usalama nchini, kuzungumzia kwa undani suala la usalama wa makundi yanayoshambuliwa, kuumizwa na kuuawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moshi mweusi umeonekana kwenye chimney ya kanisa Vatican kuashiria kuwa wameshindwa kumchagua papa mpya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NIMEIKUTA HII KITU KULE ZOOM...WAMEANDIKA KABISA KWAMBA MU ASIA NDO PREFERRED....HAWA HR SOLUTIONS NDO KINA NANI? NA KAMA WAO NDO WANAODEAL NA HR ISSUES INAKUAJE WAO WENYEWE WANASIMAMIA UBAGUZI...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Napenda michango yenu ya mawazo, imenishawishi kujiunga na jf. Hivyo nawatakia usiku mwema
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Wakati wa taarifa za habari saa mbili usiku, mnahujumu local chanel kwa kuzifanya ziwe zina-scratch, na kuiacha TBC1 clear, ili tuangalie taarifa ya TBC1. Nashaangaa sasa ivi saa tatu usiku...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Hivi hawa watangazaji wa itv wamelazimishwa kutamka"unatizama itv super brand nambari moja tanzania" mmh,manake imekua kero..
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa Ruangwa mjini na Vitongoji vyake, na kufanya shughuli za kijamii kukwama kwa muda, hasa nyakati hizi za jioni. kwa upande wa wakulima hasa wa mahindi ni...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Hello wakubwa,kutokana Gharama za mafuta kuzidi kupanda kila siku nimeamua kupumzisha SUV yangu na kuagizia Mazda Demio ya 2003,CC 1,300CIF US$ 2,100Naomba usaidizi wa ukokotozi wa gharama zote za...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Katika wana siasa wa Kenya napenda kuwa kama James Orengo wa ODM. Je, wewe unapenda kuwa kama nani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom