Mwigulu Nchemba awa kivutio KJ 823 Msange Tabora

mopaomokonzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
307
Reaction score
28
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO
 
Hadi kwenye jeshi kitengo nyeti mnaleta siasa???????siku izi kila kitu ni deal duh Tanzania imeshaisha siku nyingi!!!!
 
Mh. Joshua Nasari yeye aliamua kuingia mitini mapema.

Anachojua yeye ni kuhimiza watu washiriki kwenye maandamano tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba. Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya. Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300. Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa. Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu. Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli. Kila heri MZALENDO

Yaani kuna Waandishi wa HABARI au Ulikuwepo HUKO? Sababu kukatakata Skafu ambayo ni BENDERA ya TAIFA ni KOSA LA JINAI wangetakiwa kupelekwa RUMANDE... Sasa Kicheko cha nini??? Au Sababu wako na MWIGULU then it is ABOVE THE DAMN LAW of the LAND???
 
Siku zote vichaa ndo huwa vituko na wengi huvutiwa nao so hata mimi ningekuwa hapo ni lazima ningetaka nipige picha na kichaa wa aina hiyo ili nitunze vyema kumbukumbu kwa wanangu.
 
Mh. Joshua Nasari yeye aliamua kuingia mitini mapema.

Anachojua yeye ni kuhimiza watu washiriki kwenye maandamano tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kama Kigangwala... alibadilisha ILIKUWA sio LAZIMA ilikuwa ni HIARI yao; MWINYI aliondoa ULAZIMA wa kwenda JKT ili kutoa FURSA ya MWANAE kuwa WAZIRI BILA kupitia JESHINI kwanini hausemi hilo???
 
Kweli Tanzania bado saaaanaaaaa...Bado kidogo mtaanza kutusimulia hata ya mambo Chumbani kwenu sasa kwenye JUKWAA LA SIASA. Na hisi umerogwa wewe; This is meant for GREAT THINKERS' discussions of GREAT THOUGHTS, Not those trivial and personal issues like this thread! The most scintillating bushit is a person presented; WHO is he? WHAT does this information serve for? This is always zombie's machination and intrugues used by a failure side....Mods please post THREADS that can CHALLENGE the Great Thinkers...
 
Hii ni JKT kweli ambayo baadhi yetu tulipitia? Unapata wapi ruhusa ya kupiga picha, kuvaa skafu yako, kuvaa fulana yako (tegeta!) n.k.? Nafikiri hii ni public relations, hata hakina Kawawa hawakufanyiwa hivi?
 
Kwa PUSH UP huyu jamaa ni balaa maana kazi yake inahitaji kuwafit kupiga push up. Ningeshangaa kama mleta habari angesema push up zinampa tabu mzee wa vidosho
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba. Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya. Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300. Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa. Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu. Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli. Kila heri MZALENDO

hahahahhhahhahahaaaaaa
 
Mzalendo big up sana,ile tweet uliyoshusha kwenye wall ya chama imekuwa maarufu sana!!
Wakenya wanakutafuta kupiga picha na wewe maana wamesikia umebobea kuchumia tumbo!!
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba. Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya. Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300. Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa. Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu. Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli. Kila heri MZALENDO

mkuu amekutumia sms au wewe ni askari?maudhui ya uzi wako ni nini?
 
Ingekuwa vizuri ungekwenda kwa msajili wa magazeti na wewe uanzishe gazeti lako la udaku maana huna tofauti na wadaku wengine nyie MACCM mna tabu kweli hili si eneo la kutangaza sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom