Maana ya Mbagala kwa Wageni wa Jiji

Maana ya Mbagala kwa Wageni wa Jiji

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
808
Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua hakukosekan story 2,3
Akaibuka mama mmoja anadai et watu wa Mbagala wabadilishiwe jina hlo maana uhalisia wake sio mzuri ulitokana na historia ya kipind cha nyuma uliokuwa unamaanisha..
MBA-Mbali na mji
GA-Gari hakuna
LA-Lami hakuna
Sasa wadau mwenyew nlkuwa cjui basi ndo nikajua historia hyo fupi ila nkaona nwashirikishe kujua kama ina ukwel wowote au mama aliamua kutupiga fx maan wengi kweny daladal tulikuw vijan wengi , watu wazima wachache.
Nawasilisha..!
 
Sawa mkuu ila unaonekana ulikuwa unaangalia Kipindi cha watoto ITV maana muda ambao uzi umeletwa hewani kuna mtoto mmoja alitoa chemsha bongo kwa watoto wenzake akiuliza nini kirefu cha mbagala baada ya watoto wenzie kushindwa ndipo akatoa jibu,baada ya dakika chache naona uzi uko hewani, ok nyc
 
Umemuumbua mapema, ungemuacha kidogo tumu-enjoy!
 
Sio kweli fuatilia hii
MBA _watu wengi walikuwa na mba kichwani.
GALA_yale ya kuhifadhia mazao
Then walilinganisha kwamba mtu ana mba kichwani ambazo zinajaa hata gala.
 
Sawa mkuu ila unaonekana ulikuwa unaangalia Kipindi cha watoto ITV maana muda ambao uzi umeletwa hewani kuna mtoto mmoja alitoa chemsha bongo kwa watoto wenzake akiuliza nini kirefu cha mbagala baada ya watoto wenzie kushindwa ndipo akatoa jibu,baada ya dakika chache naona uzi uko hewani, ok nyc

naona n coincidense2 mkuu maana m nliiskia long nafkir huyo dogo atakuwa nayey kasimuliwa mtaan huko.
c unajua habar hazkai utandawaz huu..
 
mbagala is 10km from the city centre, lami yake ni bora na barabara kubwa iko huko,
life is cheaper, na kwa wajasiriamali....you have capital you will make money

nafasi ya kujenga iko mbagala,

talk about bunju b, 40 km from the city, gongolamboto 20 km from the city.......kimara over 20 km from the city

nyie igeni tu maisha ya dsm, life liko mbagala una alfu unashiba..............................

no traffic jam ..

welcome mbagala
 
kama kuna wazaramo watusaidie nilivyo ambiwa neno la kizaramo linalomaanisha nyumba ilijengwa kwa nyasi kutoka chini hadi juu kwani nyumba hizo zilikuwa nyingi sana maeneo hayo zamani.naruhusu kukosolewa cozi hata mm niliambiwa na mzee mmoja
 
jamaa bwana, baada kuwapelekea wenzake kule fb, anakuja kuzingua hapa ...
 
Sawa mkuu ila unaonekana ulikuwa unaangalia Kipindi cha watoto ITV maana muda ambao uzi umeletwa hewani kuna mtoto mmoja alitoa chemsha bongo kwa watoto wenzake akiuliza nini kirefu cha mbagala baada ya watoto wenzie kushindwa ndipo akatoa jibu,baada ya dakika chache naona uzi uko hewani, ok nyc

Kwa maana hiyo ulikua unaangalia kipindi chenu na wenzio? au sio?
 
Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua hakukosekan story 2,3
Akaibuka mama mmoja anadai et watu wa Mbagala wabadilishiwe jina hlo maana uhalisia wake sio mzuri ulitokana na historia ya kipind cha nyuma uliokuwa unamaanisha..
MBA-Mbali na mji
GA-Gari hakuna
LA-Lami hakuna
Sasa wadau mwenyew nlkuwa cjui basi ndo nikajua historia hyo fupi ila nkaona nwashirikishe kujua kama ina ukwel wowote au mama aliamua kutupiga fx maan wengi kweny daladal tulikuw vijan wengi , watu wazima wachache.
Nawasilisha..!

Huko Kagera kuna Mto unaitwa "MTO NGONO" Sijui Katerero kalifanyikia humo kwenye Mto???!!!

Back
Top Bottom