Hapa hatuna mkuu wa mkoa

Hapa hatuna mkuu wa mkoa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,702
Reaction score
39,145
Mmmh namwangalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, siku ya wanawake duniani kwa kweli ni huzuni.
Hatari kuona siku kama hii ya kuangalia nini cha kumwokoa mwanamke mzee wetu ameishia kulalama. Eti wanawake kuacha kutumika kwenye siasa vurugu zikianza wanawake ndio mnaumia zaidi.
Kazi weli kweli.
Anyway age matter!!
 
Umri umeenda xana halafu hajiamini xana.
 
Tatizo ni kuwa huu mfumo wa vyama vingi kwa nchi zetu haukupokelewa kwa mikono miwili. Watu wanapoelimishwa kuhusu haki zao inaonekana kama wanachochewa kufanya vurugu.
 
wote juu mmepiga makelele tu, jibun hoja.... kwan ata mimi nimemsikia said hawez kabisa.
 
Hata mi nimemuona huyo mzee ana uelewa mdogo sana,kwa ufupi huyu mzee ni janga!
 
Kwa kweli ndugu hawa wananiudhi sana kuandika x badala ya s. Kwa kifupi napata kichefuchefu tena ni upuuzi na kweli hii ni moja ya sababu ya hawa madogo kupiga div zero laki 3
Jadili mada badala ya x na s
 
Mmmh namwangalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, siku ya wanawake duniani kwa kweli ni huzuni.
Hatari kuona siku kama hii ya kuangalia nini cha kumwokoa mwanamke mzee wetu ameishia kulalama. Eti wanawake kuacha kutumika kwenye siasa vurugu zikianza wanawake ndio mnaumia zaidi.
Kazi weli kweli.
Anyway age matter!!
Hivi vyeo vya ushemeji sijui tutaacha lini viwe vya kuomba kwa CV
 
xana, xana..!!??? utoto huo
Ni kweli inaudhi sana uandishi wa stahili hiyo, binafsi huwa ninakasirika sana,
Lakini kitu kingine cha kuudhi na kwamba tumeacha kujadili mada husika, sasa tunajadili uandishi wa huyu jamaa.
 
Ndo maana ana cheo cha kupewa kwa 7bu hajui kujenga hoja wala kujielezea
 
Back
Top Bottom