Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni hadithi za shule za msingi zilizokuwa zimejaa ubunifu, ucheshi, mzaha, elimu na mafumbo mazito ambayo kwayo tunaweza kuyatumia kuijenga nchi!!! Mfn:- Nani atamfunga paka kengele i.e Nani...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana JF natamani sana kumalizia maisha yangu Morogoro ni maeneo gani mazuri kujenga nyumba ya kuishi na mtu anaweza kuishi kwa utulivu, mie Morogoro napitaga tu na kama kukaa nimeshakaa hotel moja...
0 Reactions
40 Replies
14K Views
WEDNESDAY, MARCH 6, 2013 CHANGAMOTO ZA AFYA VIJIJINI HAPA MGONJWA ANASAFIRISHWA UMBALI WA KILOMETA 8 KUFUATA HUDUMA YA AFYA ILEMBO MBEYA VIJIJINI KWA KUTUMIA BAISKELI PiCHA NA...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ilisemekana kuwa Dr.Stephen Ulimboka aliudhi watawala wa juu.Akatekwa,akateswa,akatupwa na siku ya pili akaokotwa Msitu wa Mabwepande. Sinema yake bado haijaisha. Leo,'ametekwa' na kuteswa Ndugu...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Wadau baada ya kwenda na kumaliza anger management classes, najihis niko tayari kumiliki kiguu cha kuku, ukijumlisha na hali ya nchi yetu inakokwenda, tija ya uhitaji inaongezeka. Sasa apart from...
0 Reactions
39 Replies
23K Views
Habari wadau wa jamvi hili Najua wengi mtakunjua hapa mkijua matokeo ya kenya tiyari hapana Nina maswali yananyo nitatiza kichwa changu kuhusu mwendo wa matokea ya uchaguzi uneo endelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huwa nashangaa sana tunapotaka kutafuta haki sawa! Ukisoma maandiko matakatifu Kitabu cha Mwanzo 3:16 "Akamwambia Mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaan hawa jamaa wanajua maana ya Mungu kumuumba mwanamke na mwanamume kuwa tofauti??? Hivi sisi tunasikiliza michezo afu huyo Diva anaingia na mada zake za kusupport ushoga na usagaji??? Pumbavu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa polisi wakimkamata mtuhumiwa na kumuhoji huwa wakati mwingine wanamtesa ili atoe siri au habari fulanifulani. na hili...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hvi ni kweli itaanza mwaka huu na ni lazima na itakuwaje mwaka huu kuhusu kujiunga na vyuo itakua hakuna?coz wanafunz watajiunga na J.K.T? plz naomba ufafanuzi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi, habari zenu. Leo asubuhi nimeenda zangu city centre kwa shughuli. Nilikuwa na kiasi fulani cha hela ya kigeni mfukoni. Nikaamua kwenda kwenye moja ya maduka ya kubadiili pesa mtaa wa...
4 Reactions
123 Replies
10K Views
Hi, wapendwa asanteni kwa maelekezo kuhusu visa,my company n i did that for me. Jf long live jf. Okay sasa I am going to the US,yes, Im a Tanzania citizen can i get a transit visa to...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Ijumaa iliyopita Sheikh Hasan Kibeke alikutana na waislamu wanaosoma chuo kikuu cha SAUT na kuwahutubia ktk msikiti wa Sokoni hapa Mwanza. Pamoja na mawaidha yake mazuri but kuna mambo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kifupi sijaelewa Rais wa nchi anakagua ukumbi kabla ya kufunguliwa je ni nani atakaye ufungua??kama Rais wa nchi anakagua hako kaukumbi je ufunguzi atakuja Obama?? Swali je nikwamba...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Habari za mchana!! Naandika kwa masikitiko yalionikuta leo ndani ya ndege ya precision air zanzibar, ndege imepata ufa baada ya kugonfwa na ndege mnyama, badala ya kujali usalama wetu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna fikra zimenijia kuwa nahitaji kuandika kuhusu hatma ya Tanzania. Kabla ya kuanza kazi hii nimehisi nahitaji kusoma Falsafa ya AZIMIO LA ARUSHA, Nimekutafuta kitabu hicho sijakipata .....cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAWALETEA KAMA ILIVYO . . . . . WIZI MPYA WA MITANDAONI . . . . . Haswaaaaa kwa wale wapendao kwenda internet cafe . . . Yaani ukiingia internet cafe halafu nyuma ya computer ukakuta kuna...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania akizungumza leo na vyombo vya habari amesisitiza zaidi uhuru wa vyombo vya habari kupewa nafasi yake ili viweze kufanya kazi kwa ufanisi. Pia amesisitiza kuwa...
4 Reactions
87 Replies
7K Views
Mahakama ya kimataifa ya ICC imeahirisha kesi iliyokuwa inawakabili watuhumiwa wawili nchini Kenya ndugu Uhuru Kenyata na Francis Muthaura hadi pale itakaposikilizwa tena tarehe 9july 2013...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wametimuliwa jeshini,na kufikishwa mahakamani muda wowote.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom